Tatizo kwenye account ya instagram

Error “An Unknown Network Error Has Occurred” on Android

Msaada mwenye kujua kutatua tatizo hilo nashindwa kumfatilia da mange kabisa
Kwa maelezo haya tatzo sio instagram bali tatizo connection setting za internet kwny cm yako
 
Hilo tatizo kuna kipindi linatokeaga,Kuna wakati shida inakuaga ni Instagram wenyewe au la Kuna Mtu anajaribu kuhack account yako (ilishawahi nitokea Mimi)

Ila Cha kukushauri embu jaribu kutumia simu ya mtu mwingine kuingia kwenye account yako uone Kama iko salama isije ikawa ushahakiwa.
 
Nitajaribu nione pia
 
Error “An Unknown Network Error Has Occurred” on Android

Msaada mwenye kujua kutatua tatizo hilo nashindwa kumfatilia da mange kabisa
Hiyo kama aihakuda update sijui.nenda about update simu yako alafu leta mrehesho
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom