Hodi....hodi asubuhi hii,, ndungu zangu wanajamvi nimeamua kuwafuata asubuhi hii, kwanzakabisa niwaombe radhi wale wataalam wa Android kwakuwa mimi pia nilijidai mtaalam kumbe siwezi lolote......
(1)Mimi natumia simu ya huawei Y300, nashukuru niliomba msaada wa jinsi ya ku-root na nimefanikiwa, ila baada ya ku-root nikajikuta nimevuruga mno system na nime unistall baadhi ya app muhimu.
(2) Baadaye nikawa najaribu kufanya Bootloader unlocker, nahisi imekubali kwani wakati wakuwasha haionyeshi tena logo ya huawei kuna neno lakiarabu linaonekana halafu lina fuatiwa na neno android......
Ombi/msaada/swali langu je,naweza kurudisha zile app muhimu zilizo futwa?
je, wakati wakuwasha cm logo ya huawei linaweza kurudi?
au naweza kuandika kitu kingine likaonekana wakati wakuwasha simu.......
samahani kwa Typ nyingi, naomba kuweka mezani tayari kujadiliwa