Isemalo ni kweli mpendwa hapa kama afya yako spana mkononi lazima upate shidahNi kweli, ila kwa mujibu wa tamko rasmi la taasisi husika (NACTE & TCU) WAMESEMA UKIACHA watu wa diploma na cetificates, waombaji wa undergraduate wanatangazwa na vyuo kwa utaratibu ambao si rasmi kwa sababu ambazo wamesha sisema tangu jana. Ndo maana utakuta majina unayokuta kwenye web za vyuo ni batch moja moja, mbili n.k.......hivyo kutuongezea presha wale ambao hatujikuti huko, RASMI kabisa yatatolewa na TCU wenyewe kwa awamu mbili,
NB: Awamu ya pili itawahusisha wale 12,867 tu, na chezo linaisha!!!!!!!!!!
Jamani tutulie, tusipoangalia hawa jamaa wata tuua kwa presha!!!!! LOL
tcu jamaniiii...
xaxa iyo foto ndo tcu?
tcu jamaniiii...
nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo

eti csta umechanganyikiwa au kachanganyikiwa mdogo wako nawackisha.