mtume wawatu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2016
- 1,223
- 1,393
Server error occurred: '0 trim(): Argument #1 ($string) must be of type string, array given (Html.php:1579)'
Open in Browser
Habari za muda huu ndugu zangu ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na shughuli za ujenzi wa taifa. Niko mbele yenu nikiwasilisha lalamiko hili hasa kwenye jukwaa hili ambalo hutembelewa na watu wengi. Ninaamini kwamba moderators watalishughulikia kwa ukaribu sana tatizo hili.
Sisi watu tunaotumia screen readers na accessibility features kwenye jukwaa hili, tumekuwa tukipata changamoto sana kutokana na mabadiliko yaliyoikumba application ya zamani. Ujio wa application hii mpya kwetu sisi watumia visoma screen yan screen readers umekuja na changamoto kubwa sana na ufikivu wake kwetu umekuwa ni mbaya kwelikweli. Ninavyosema watumia visoma screen yaani screenreaders ni watu wasioona na wenye ulemavu mwingine ambao wamekuwa wakitumia jukwaa hili kama eneo la kupata habari, burudani, na mafunzo mengine tofauti.
Hivyo, naomba wahusika walishughulikie suala hili haraka ili iwe kama ilivyokuwa huko kipindi cha nyuma.. kwa sababu application ya zamani ilikuwa haina hili tatizo.
asanteni kwa kunisoma.
kwa kunisikiliza