Mzee wa Udambwi
Member
- Feb 26, 2026
- 14
- 34
Habari za wakati huu wapendwa,Naomba niwaelezee tatizo langu pengine mnaweza kunisaidia Nina shida moja sijui ni aleji ama ni nini maana niliwai enda hosptal ya wilaya hawakuona tatizo,pia kipato changu ni kidogo cha kuniwezesha kwenda hospital kubwa kwa vipimo vikubwa
Shida yangu ni nikikaa juani au kutembea juani kwamuda mrefu kidogo badae nikaa nikatulia nasikia kama kuna maji yanasambaa kwenye fuvu la kichwa na kushuka chini kuelekea kwenye shingo ni kama barafu iliyokua imeganda sasa imepigwa na jua inayeyuka
Cha kushangaza ni kua nikivaa kofia nikashinda juani kwa muda mrefu hiyo hali aitokei kabisa
Asanteni kwa kunisikiliza, nipo hapa kusoma ushauri wenu na maoni mtakayonipa