Brown Kwacha
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 299
- 409
Wewe ndiyo wa kwanza kuniambia hivyo... I have to take it.Inaonekana unapenda kulaumu sana.
Basi kuwa mwanaume acha kulialia kama kibinti, ukiachwa tu unazama kutoa lawama mitandaoni.Wewe ndiyo wa kwanza kuniambia hivyo... I have to take it.
Kweli wewe mbao za mawe.... naona network ya ubongo ulipo inasoma 2g.Basi kuwa mwanaume acha kulialia kama kibinti, ukiachwa tu unazama kutoa lawama mitandaoni.
Ishi kiume acha kulialia.
Atleast akikuambia una mtoa kwenye kumfikiria.Kuna vingine sio Rahisi kukwambia,unajua tena hawa ndugu zetu aibu na kuogopa kuku disappoint, mfano akwambie Unanuka mdomo,au sehemu zako za siri ni ndogo, au labda Hauko smart mchafu mchafu unauchukilia unadhifu kiganster gangster hivi,Au tu una ushamba fulani hivi ambao hakudhania kuwa unao hapo awali,
All in all usafi,kujipenda ni vitu vya msingi Sana, Pia usipende kumtreat kama mwanaume mwenzio, mbebishe bebishe hivi, kama kweli una malengo nae.
Ni mada tu...Pole sana mkuu kwa kuachwa
Nimependa hii.Ukiachwa achika,,,
Kwamba amezoea kuacha acha kama alivyoacha shule.Ukioa mwanamke aliyeacha skul , lazima utaachwa kwa staili ile ile aliyotumia kuacha skul
Pia skia nikwambie kitu ogopa yule mtu kila unachokifanya kiwe kibaya hakwambii umeniudhi, kiwe kizuri hasema nashukuru yani mpaka unajiuliza nifanyaje ili aseme kitu , watu hawa ogopa sana