TATIZO ENGLISH!!

ngombelee

JF-Expert Member
Jun 6, 2014
376
285
<b>Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer

Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have.

Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.
Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.
Mtafsiri: They don't cook here

Mtalii: What type of snacks do you have here.
Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao.
Mtafsiri: They don't cook any type of snacks here, maybe you can go back and eat at home.

Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice.
Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo.
Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika.

Mtafsiri: Lets get out of here

mkalimani hatari snaa

[HASHTAG]#NimempendaMkalimani[/HASHTAG]
Asubui Njema Familia
 
hahaha, tatizo English ndo maana watu wanaogopa kusafiri nje ya nchi. wanawakwepa wazungu, chezea ung'eng'e wewe..na kwa tz watu wengine wana phd lakini wakiongea utawaonea huruma, hata mtoto wa st. mary anawazidi kimombo. ndo maana hatuendelei kwasababu elimu za wengi zimepatikana kwa magumashi.
 
<b>Kizungu nacho ni sheeeeeedeeeer

Mtalii: Do you have vegetables here.
Mtafsiri: Mnavyo vijimeza hapa.
Waiter: Vijimeza vidogo hatuna.
Mtafsiri: No sir, they don't have.

Mtalii: OK, fine, do you have hot dogs.
Mtafsiri: Sawa, je mnao mbwa wa moto.
Waiter: Loh! Bwana we, hatupiki mbwa hapa.
Mtafsiri: They don't cook here

Mtalii: What type of snacks do you have here.
Mtafsiri: Aina ngapi ya nyoka mnao hapa,
Waiter: We bwana we hapa hatupiki aina yeyote ya nyoka, mwache akale nyumbani kwao.
Mtafsiri: They don't cook any type of snacks here, maybe you can go back and eat at home.

Mtalii: OK, at least give us a cocktail juice.
Mtafsiri: OK, tupatie hata juisi ya mkia wa jogoo.
Waiter: Hebu tokeni na bangi zenu hapa, tena sasa hivi kabla sijakasirika.

Mtafsiri: Lets get out of here

mkalimani hatari snaa

[HASHTAG]#NimempendaMkalimani[/HASHTAG]
Asubui Njema Familia
Uuuuuwiii mbavu zanguuee!
 
Back
Top Bottom