assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Tatizo kubwa kwa sasa CHADEMA sio Mbowe bali remote control yani Lowassa.
Tangia ameingia CHADEMA amesahau kabisa kwanini harakati za ukombozi haziwezi kwisha mpaka uchukue dola.
Lowassa apitie historia ya CHADEMA
~wakati Mnyika kwa mara ya kwanza kuchaguliwa pale Loyola what happened. Lau si wananchi kusimama kidete Mnyika hadi leo huenda asingekuepo mjengoni.
Nirudi huwezi kuzuia harakati wakati ndio msingi wa kudai haki inapobinywa.
Lowassa alituambia yeye anajua CCM wanavyochakachua so watu wasilinde kura u know what happened ukitaka ushahidi mpigie maalim Seif
Mimi nawausia BAVICHA kutorudi nyuma, nyie ndio injini ya chama,ndio makamanda wakweli
Lowassa embu pumzika kama ulivoahidi na punguza kauli tata