Mzenjibar
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 229
- 298
Naomba kusaidiwa kutatua tatizo la simu yangu baada ya Ku root niliweza kufuta baadhi ya file za simu.
Hivyo nimeshindwa kuingia play store na kuonesha ujumbe kwamba unfortunately Google play services has stopped.
Hivyo nimeshindwa kuingia play store na kuonesha ujumbe kwamba unfortunately Google play services has stopped.