THT
JF-Expert Member
- Jul 25, 2016
- 737
- 873
Habari madaktari,
Nahitaji msaada kwakweli, baada tu ya kujifungua huyu mtoto wangu wa kwanza nasahau mnoo, inanikera sanaa kwakweli, nasahau haraka sana na mara kwa mara, ninaweza kuwa na fanya kazi fulan, Ikitokea issue nyingine nasahu kabisa kazi ya mwanzo, mpaka wenzangu wananiambia nitakuwa nina tatizo.
Nitumie vyakula gan, matunda au dawa kuweka kumbukumbu zangu sawia?