Tathmini ya wasomaji wa magazeti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tathmini ya wasomaji wa magazeti

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngambo Ngali, Aug 25, 2010.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  When you're reading your paper, remember:

  The Times is read by the people who run the country.
  The Mirror is read by people who think they run the country.
  The Guardian is read by people who think they ought to run the country.
  The Morning Star is read by people who think the country ought to be run by another country.
  The Independent is read by people who don't know who runs the country but are sure they're doing it wrong.
  The Daily Mail is read by the wives of the people who run the country.
  The Financial Times is read by the people who own the country.
  The Express is read by people who think the country ought to be run as it used to be run.
  The Telegraph is read by people who still think it is their country.
  The Sun's is read by people who don't care who runs the country.
  The Sport is read by people who just like looking at tits.

  Nimekutana na hii wakati nazurura mtandaoni, hii inahusu magazeti ya Uingereza je ingekuwa magazeti ya Tanzania ingekaaje???? Hii itasaidia kuchagua ni gazeti gani la kununua na kusoma na lipi la kununua na kufungia nyama.

  Tunaomba mchango wenu.
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Hivi gazeti la Mirror la Tanzaia bado lipo?

  The Sun's is read by people who don't care who runs the country.
  Uwazi linasomwa na watu wasiojali wala kutaka kujua Tanzania inaongozwa vipi

  Sijui kama nitakuwa nimepatia patia . Teh Teh Teh
   
 3. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Uhuru linasomwa na watu wanaodhani kuwa wana hatimiliki ya kuongoza nchii hii
   
 4. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #4
  Aug 25, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Habari leo linasomwa na watu wanaodhani wanaongoza nchi
   
 5. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  mtanzania linasomwa na watu wasiotaka kujua Tanzania inaongozwa na nani ili mradi malengo yao binafsi yatimizwe
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  the controversial editorial, inaangukia wapi kati ya haya
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Rai husomwa na watu walio karibu na mafisadi, mafisadi wenyewe, Familia za vigogo na vigogo wenyewe, nawatu wenye kupenda kudanganywa, hasa ccm .
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,423
  Likes Received: 19,742
  Trophy Points: 280
  mwananchi husomwa na watu makini wapenda maendeleo wasio na upendeleo wanaoijali nchi yao na AMBAO 31OCT .kura yao itaenda kwa chama makini .....and after that ????check my status please!!
   
 9. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  na TV stations je?
   
 10. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  zote fake hasa TBC na umbea tu...
   
Loading...