Tathmini ya aptitude test pccb

Ambassador_

Member
Joined
Nov 27, 2020
Posts
26
Reaction score
49
Hatimae ile Aptitude Test iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kutoka PCCB imemalizika dakika chache zilizopita.

To be honest Test ilikuwa nyepesi but very Technical,kiasi kama ukiangalia kimapepe unaweza kuingia chaka.

Muda pia ulikuwa mwingi mno kutokana na aina ya maswali yaliyokuwepo,maswali mengi yalikuwa ni ya lugha tu (uelewa wa lugha ya kiingereza)na hesabu chache mno,maswali 45 masaa mawili,

Hofu yangu kutokana wepesi wa mtihani Panga lake sijui litakuwaje...

Let's wait n see...

Reporting live from Dodoma..
 
Hata hujapumzika mkuu, na nyumbani umefika kweli ??

Kila la kheri,uwepesi ni maonono sio ukweli kwa kila mtu.
 
Hongera sana mkuu.

Nilipokea wageni 2 kuja kufanya hiyo pepa, na sasa washaamsha kurudi mjini Daslam.

Mungu awatangulie muweze kuilamba Asali ya PCCB
 
Hongera sana mkuu.

Nilipokea wageni 2 kuja kufanya hiyo pepa, na sasa washaamsha kurudi mjini Daslam.

Mungu awatangulie muweze kuilamba Asali ya PCCB
Kwakweli hii asali ni muhimu mkuu
 
😅😅😅 Wenye post zao wanajulikama tayari Asante kwa kushiriki🙏
 
Naomba kuuliza jamani hivi pccb huwa wanatumia muda gani kutoa majibu ya aptitude test?
 
Maana wengine wanasema ni baada ya siku 2 hivi ni kwel?
 
Kwan huwa wanatoa baaada ya siku ngap vile.. Pls nisaidie kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…