Tathmini picha hii....Umegundua nini katika picha hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tathmini picha hii....Umegundua nini katika picha hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by KML, Jun 6, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nape.jpg
  Hii ni baadhi tu ya sehem alizokua anapita bwana mkubwa, mimi nimegundua kitu sijui wewe umegundua nini
   
 2. webondo

  webondo JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 1,724
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Wazee wanataka kupenwa mkwanja!
   
 3. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Nimegundua Kumbe naye Nape anazeeka?afanye mazoezi yeye bado kijana .Kwani wewe umeona nini eee!
   
 4. mwenyenguvu

  mwenyenguvu Senior Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  wazee wa ccm wanaoamini kuwa hadi leo nyerere ndie rais wa nchi na ccm ndio chama kilichowalea LOL!!!!!!!! kazi unayo nape
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  hiyo avatar yako ni wewe? unaweza ni PM number yako?
   
 6. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,318
  Likes Received: 2,604
  Trophy Points: 280
  CCM imebakiwa kwa Wadanganyika wazee tu
   
 7. KML

  KML JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mimi nimeona vibandiko vingi kichwani kwa wale waliomzunguka sa sijajua kama hawa wazee hawana shida au wameridhika na ccm kisa wamepandikizwa udini ndo maana hawataki chama cha mabadiliko.
   
 8. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #8
  Jun 6, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Uislamu dini safi sana lakini wasomi hawatakiwi kuongoza taasisi za kiislamu. Ndo maana sie waislamu tunachekwa na kuhusishwa /kutumiwakwa na mambo ya ajabu ajabu. Yaone yalivyosimama na mikanzu yao. heri wangeshikana mikono na shetani kuliko huyo mnafiki mbele yao
   
 9. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #9
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Anataka awape rushwa wkagawane na wanahuamsho huko zenj ili wasiisumbue ccm, kwake huo ndo uenezi.
   
 10. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #10
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  naona anasalimiana na waganga wa kienyeji hapo. kafwata ramli..ccm maji ya shingo
   
 11. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #11
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,100
  Likes Received: 1,424
  Trophy Points: 280
  Nikiangalia hapo juu halafu nikalinganisha na picha hii chini inayowaonesha hawa wakereketwa
  wakionyesha alama ya dole siku ya mapokezi ya Nape, kwa kweli nazidi kuchanganyikiwa...

  View attachment 55629
   
 12. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #12
  Jun 6, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 849
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Huyu ni Nape au Mwigulu Machemba? Maana leo nimeongozana naye (gari yake Toyota Prado a.k.a FISADI, ilikuwa mbele yangu) kutoka maeneo ya Mwenge tukajapotezana maeneo ya Ustawi wa Jamii, Shekilango Road! Alikuwa amevaa hivyo hivyo!
   
 13. m

  mamajack JF-Expert Member

  #13
  Jun 6, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  anataka kugawa kofua na tshirt.kwapani ana kanga,
   
 14. TONGONI

  TONGONI JF-Expert Member

  #14
  Jun 6, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 1,027
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Uislamu dini safi sana lakini wasomi hawatakiwi kuongoza taasisi za kiislamu. Ndo maana sie waislamu tunachekwa na kuhusishwa /kutumiwakwa na mambo ya ajabu ajabu. Yaone yalivyosimama na mikanzu yao. heri wangeshikana mikono na shetani kuliko huyo mnafiki mbele yao.

  EEEhhh! Jamani haipendezi kila wakati UISLAM/UKRISTO hebu tuwe tu kama wa-TANGANYIKA,tuheshimiane na kila mtu abakie na dini yake.....najua kila mtu ana haki ya kusema lile analo ona ni sawa so (Samahani kama nimekukwaza)

   
 15. J

  J.K.Rayhope JF-Expert Member

  #15
  Jun 6, 2012
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  picha nimeitazama kwa makini,Nilichogundua ni DoGJinga Anaongea na Wadanganyika.
   
 16. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #16
  Jun 6, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Mie naona anawaonesha mkasi anataka kwenda kukata utepe wa kufungua tawi la CCm, kwani wewe umeona nini eeenh?
   
 17. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #17
  Jun 6, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,495
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  Mie nimegundua kweli Nape anafanana yule waziri....kuwa na wizara maalum!
   
 18. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #18
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Mimi nahisi anawagawia vi-note vya miatano miatano na kuwaambia Chadema ni chama cha Kikristo na cha wachaga.
   
 19. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #19
  Jun 6, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anafanya CCm kama kampuni yake binafsi? ziara gani ya peke yake? UVCCCM na viongozi wengine wa kitaifa wako wapi?
   
 20. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #20
  Jun 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...