M Muhuwesi JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 306 Reaction score 132 Sep 13, 2016 #21 hiki kiwewe kinachowakuta wa matopen,sisi kwenye taaluma zetu huwa tunaita "pressure of baby"km kuna mtu hajaelewa aniulize tu...
hiki kiwewe kinachowakuta wa matopen,sisi kwenye taaluma zetu huwa tunaita "pressure of baby"km kuna mtu hajaelewa aniulize tu...
Belo JF-Expert Member Joined Jun 11, 2007 Posts 12,913 Reaction score 10,263 Sep 13, 2016 #22 Sema umefanya tathmini ya timu yako ya Simba sio tathmini ya timu zote za ligi kuu
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,513 Reaction score 15,154 Sep 14, 2016 #23 MESSI10 said: VPL winner prediction 2016/17 Simba 58% Yanga 22% Azam 19.5% zingine 0.5%. Click to expand... Subiri siku ya ukuta tarehe moja,mnyama atatia mkia wake katikati ya miguu ya nyuma kwa nyuma yake.
MESSI10 said: VPL winner prediction 2016/17 Simba 58% Yanga 22% Azam 19.5% zingine 0.5%. Click to expand... Subiri siku ya ukuta tarehe moja,mnyama atatia mkia wake katikati ya miguu ya nyuma kwa nyuma yake.