Tafuta mume uolewe wewe bidodo..kakwambia nani ukiolewa elimu haipandi?
Kuna vitu ni 'time oriented'..na ndoa ikiwemo...i mean uki-mess up na muda kuvipata inakuwa shida...
Elimu haina mwisho..halaf usiwe unafanya comparison kwenye ubaya tu..kwani hujaona walioko kwenye ndoa wakiwa na furaha?...............
Wapo but honestly speaking wachache sana esp kwa hiki kizazi chetu cha nyoka ie ni one out of a thousand.
Hii research ni valid?
Hebu nipe source..
Wanajamvi naombeni ushauri wenu
Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo
sikia sasa ukivuka miaka 25 bado hujaolewa tambua tatizo limeshaanza kukua..haalafu inabidi ujue kusoma sio kwamba lazima utakuja kupata kazi waweza soma na kazi usipate so chamsingi ni kujipanga uende navyo hivyo vitu sambamba...sawa sawa...Wanajamvi naombeni ushauri wenu
Rafiki zangu wengi tuliocheza pamoja ambao sote ni age 22 wengi wao washaolewa. Wengine wanawatoto wengine wameachwa mie bado nasoma. Sasa nimeamua nisome mpaka nifanikiwe na nipate kazi yangu ndipo akitokea mchumba nitakubali wakati nina kazi. Sasa rafki zangu wanasema utazeeeka usoolewa cuz tayari una 22 sasa unategemea kuolewa 28. Mii hata nikiolewa 30 niko tayari nataka tooo nisome nipate kazi. Sasa mnaonaje eti mtoto wa kike haipendezi kuolewa umri mkubwa??. Lakini nikiwaangalia ao waloolewa wamechoka sana wanategemea waume zao miii mtu wa haya sana kumtegemea mtu. Sasa ushauri wenu niolewe au niendeleee na masomo
Yeah ni valid and ni 100%,mi mwenyewe ni source karibia ndoa zote ninazozijua ni matatizo matupu,nikianza na rfiki yangu mwalimu,yeye hus wake ana smalll houses kama uyoga wa porini,the worst thing alienda sauzi rafiki yangu akiwa na mimba mpaka sa hivi ana mtoto wa miak miwili hus hajaonekana,anavyosurvive mpaka sasa inahuzunisha,ni mengi sana snowball nikisema niyadisplay yote hata we utaona uvivu kusoma.
Okay...but mbona mimi nina mifano kibao tu ya ndoa zinazofanya vizuri
Karibu marafiki zangu wengi they are happily married....and still enjoy the benefits of marriage..
Kwa upande wangu ndoa zenye matatizo ni kama asilimia 5 ya ndoa zote ninazozifahamu
Nadhani tunaishi different world....

Soma ushauri wa King'asti na uuelewe, maana utakusaidia
Kwanza elewa hili, huhitaji kuwa na ndoa ili kuwa na furaha. Mtazamo wako juu ya mambo ndo utakaokufanya uwe na furaha ama la. Kwa miaka hii ya dot com, kuolewa na miaka 30 ni kawaida kabisaa. Kila la kheri na shule. Una akili sana wewe, kuolewa jobless is a big NO. Kwanza utamtesa mwanaume wa watu, manake 24/7 unamuwaza yeye? Its too crowding bana. Acha waolewe mbio, kwa sayansi na teknolojia hata ukiwa 50yrs old unaweza kuzaa.