Tata John Heche hakikisha unaendelea kuwachanganya wasijue unapolala

Hivi waganga wa kienyeji wa siku hizi ni feki? ina maana dawa zao za mazindiko usionwe na kunaswa na maadui hazifanyi kazi? inatakiwa watekaji wakija waone giza na utelezi, washambuliwe na mizuka
Dogo una umri gani?
 
Nafikiri hizi dawa anazo Zitto Ruyagwa Kabwe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…