Nauza tata bus Namba DEJ Mlango mmoja muhitaji anipigie 0719909691. / 0763166893 karibuni gari ipo Dar es salaam
Mkuu, ndio hili? Nimeliona ZoomTanzania.
View attachment 1140921
Madereva wanakuchanganya bila shaka! Pole sana mkuuHapana hiyo ninayouza Mimi ni DEJ ilikuwa inapiga dar liwale bado haijabadilishwa root
Mkuu hiyo Body imechakaa Sana, hapo kuirudishia vizuri ikae poa ni gharama zingine tena.Nauza tata bus Namba DEJ Mlango mmoja muhitaji anipigie 0719909691. / 0763166893 karibuni gari ipo Dar es salaam
Hivi haya magari yakiwa mapya huwa yanauzwa sh ngapi?Mkuu hiyo Body imechakaa Sana, hapo kuirudishia vizuri ikae poa ni gharama zingine tena.
Isitoshe hiyo 40Mil uliotaja si bora nikawape tu Africarriers Kama advance wanipe jipya nipige nalo mzigo niwe nawamalizia balance yao kidogo kidogo.
Sasa milioni 120 si heri nikanunue Yutong...?Hahaaa Mimi sijaweka picha ya bidhaa yoyote mkuu nimeweka bango jeupe
Kabadilisha bei? Mwanzoni aliandika 85M.Mkuu hiyo Body imechakaa Sana, hapo kuirudishia vizuri ikae poa ni gharama zingine tena.
Isitoshe hiyo 40Mil uliotaja si bora nikawape tu Africarriers Kama advance wanipe jipya nipige nalo mzigo niwe nawamalizia balance yao kidogo kidogo.
Kapunguza Babu,Kabadilisha bei? Mwanzoni aliandika 85M.