mwambie mkwe amtaje huyo nyuma ya kinyago au nae anaogopa! kama anaogopa basi unamkwe muoga sana mnyang'anye huo ukwe!Mkwe kama mkwe
Hana mwanasheria mzuri 😀mwambie mkwe amtaje huyo nyuma ya kinyago au nae anaogopa! kama anaogopa basi unamkwe muoga sana mnyang'anye huo ukwe!
Hiyo SMG yenye kutu na haijawekewa oili kwa karne haifanyi kazi tena; ni mbwembwe tu lakini huenda haina hata risasi.
Sikusoma post yako yote kwa sababu nimevutiwa sana na picha uliyoweka; namwonea huruma mwenye nyumba hiyo.Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali kutoka kwa mamlaka?
Picha inayojaribu kutengenezwa ni pana na ina vipaji vya kila aina vilivyojaa usherati, ugangwe, na ubaradhuli pia. Vipaji vya "hewala bwana" havijaachwa nyuma, vimo tena kwa wingi!
Visasi? Hilo liko wazi kabisa. Je, unajua ni kwanini mmoja alipokea kipondo kikali kuliko wengine, zaidi ya umbwa mwizi? Ni kwa sababu ya ushindi mnono wa kanda yake. Hapa mchungaji amefurahi sana.
Yote juu ya yote, ni nani huyu mwenye taswira nyuma ya kinyago? (A face behind the mask) Huyu ndiye injinia mkuu. Ni fundi mzuri sana wa kutengeneza mashimo ambayo watu watumbukie. Ana roho mbaya, kama ibilisi anasubiri. Huyu ni yule kiongozi mtukufu wa majabali. Hakuna jabali lisilomjua huyu mtwa!
Wanaotajwa kwa sasa ni wengi na lawama nyingi zinamwelekea mama na mwana. Hawa si wazoefu wa hizi figisu. Hata hao watumwa wengine, mchongo mzima unatengenezwa na mkubwa wa majabali; wao ni watekelezaji tu.
Huyu ni hatari zaidi kwa sasa na wakati ujao kwa sababu:
Laiti mama mkwe angejua, kikulacho ki nguoni mwake...! Taswira nyuma ya kinyago!
- Bado ana ndoto kubwa.
- Kafanikiwa kuvaa kinyago.
- Kajisimika kwenye mgodi wa kaya.
- Anatekeleza mipango yake yote akiwa nyuma ya kinyago.
- Ni katili asiyejali wala kuogopa chochote.
- Kafanikiwa kwa asilimia 100 kumweka kiganjani bosi wake na anamuendesha atakavyo kutoka pande zote.
- Kajijengea mtandao imara sehemu zote kuanzia sungusungu mpaka mgambo.
- Kupitia mgodi wa kaya, kafanikiwa kujimegea na kujichotea vya kutosha, hivyo anatengeneza ushawishi na uungwaji mkono bila shida yoyote!
Good evening, Tanganyika..
View attachment 3070979
Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali kutoka kwa mamlaka?
Picha inayojaribu kutengenezwa ni pana na ina vipaji vya kila aina vilivyojaa usherati, ugangwe, na ubaradhuli pia. Vipaji vya "hewala bwana" havijaachwa nyuma, vimo tena kwa wingi!
Visasi? Hilo liko wazi kabisa. Je, unajua ni kwanini mmoja alipokea kipondo kikali kuliko wengine, zaidi ya umbwa mwizi? Ni kwa sababu ya ushindi mnono wa kanda yake. Hapa mchungaji amefurahi sana.
Yote juu ya yote, ni nani huyu mwenye taswira nyuma ya kinyago? (A face behind the mask) Huyu ndiye injinia mkuu. Ni fundi mzuri sana wa kutengeneza mashimo ambayo watu watumbukie. Ana roho mbaya, kama ibilisi anasubiri. Huyu ni yule kiongozi mtukufu wa majabali. Hakuna jabali lisilomjua huyu mtwa!
Wanaotajwa kwa sasa ni wengi na lawama nyingi zinamwelekea mama na mwana. Hawa si wazoefu wa hizi figisu. Hata hao watumwa wengine, mchongo mzima unatengenezwa na mkubwa wa majabali; wao ni watekelezaji tu.
Huyu ni hatari zaidi kwa sasa na wakati ujao kwa sababu:
Laiti mama mkwe angejua, kikulacho ki nguoni mwake...! Taswira nyuma ya kinyago!
- Bado ana ndoto kubwa.
- Kafanikiwa kuvaa kinyago.
- Kajisimika kwenye mgodi wa kaya.
- Anatekeleza mipango yake yote akiwa nyuma ya kinyago.
- Ni katili asiyejali wala kuogopa chochote.
- Kafanikiwa kwa asilimia 100 kumweka kiganjani bosi wake na anamuendesha atakavyo kutoka pande zote.
- Kajijengea mtandao imara sehemu zote kuanzia sungusungu mpaka mgambo.
- Kupitia mgodi wa kaya, kafanikiwa kujimegea na kujichotea vya kutosha, hivyo anatengeneza ushawishi na uungwaji mkono bila shida yoyote!
Good evening, Tanganyika..
View attachment 3070979
🥺🥺🥺Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali kutoka kwa mamlaka?
Picha inayojaribu kutengenezwa ni pana na ina vipaji vya kila aina vilivyojaa usherati, ugangwe, na ubaradhuli pia. Vipaji vya "hewala bwana" havijaachwa nyuma, vimo tena kwa wingi!
Visasi? Hilo liko wazi kabisa. Je, unajua ni kwanini mmoja alipokea kipondo kikali kuliko wengine, zaidi ya umbwa mwizi? Ni kwa sababu ya ushindi mnono wa kanda yake. Hapa mchungaji amefurahi sana.
Yote juu ya yote, ni nani huyu mwenye taswira nyuma ya kinyago? (A face behind the mask) Huyu ndiye injinia mkuu. Ni fundi mzuri sana wa kutengeneza mashimo ambayo watu watumbukie. Ana roho mbaya, kama ibilisi anasubiri. Huyu ni yule kiongozi mtukufu wa majabali. Hakuna jabali lisilomjua huyu mtwa!
Wanaotajwa kwa sasa ni wengi na lawama nyingi zinamwelekea mama na mwana. Hawa si wazoefu wa hizi figisu. Hata hao watumwa wengine, mchongo mzima unatengenezwa na mkubwa wa majabali; wao ni watekelezaji tu.
Huyu ni hatari zaidi kwa sasa na wakati ujao kwa sababu:
Laiti mama mkwe angejua, kikulacho ki nguoni mwake...! Taswira nyuma ya kinyago!
- Bado ana ndoto kubwa.
- Kafanikiwa kuvaa kinyago.
- Kajisimika kwenye mgodi wa kaya.
- Anatekeleza mipango yake yote akiwa nyuma ya kinyago.
- Ni katili asiyejali wala kuogopa chochote.
- Kafanikiwa kwa asilimia 100 kumweka kiganjani bosi wake na anamuendesha atakavyo kutoka pande zote.
- Kajijengea mtandao imara sehemu zote kuanzia sungusungu mpaka mgambo.
- Kupitia mgodi wa kaya, kafanikiwa kujimegea na kujichotea vya kutosha, hivyo anatengeneza ushawishi na uungwaji mkono bila shida yoyote!
Good evening, Tanganyika..
View attachment 3070979
Usiangalie kwa nje mkuu, kama bolt na utumbo + piston zimesafishwa je haitafanya kazi?Hiyo SMG yenye kutu na haijawekewa oili kwa karne haifanyi kazi tena; ni mbwembwe tu lakini huenda haina hata risasi.
Trigger mechanism yenyewe ina kutu. Huwezi kufungua kufikia return spring mechanism na piston iwapo huwezi kuondoa trigger mechanismUsiangalie kwa nje mkuu, kama bolt na utumbo + piston zimesafishwa je haitafanya kazi?
Nimeiangalia hiyo picha simu ikiwa kwenye dark mode so sikuiona vizuri. Nakubaliana nawe mkuuTrigger mechanism yenyewe ina kutu. Huwezi kufungua kufikia return spring mechanism na piston iwapo huwezi kuondoa trigger mechanism
Nimekuwa nikivizia tokea Jana nione kama kuna atakayeondoa mabano lakini mpaka sasa nimetoka kapa. Sijaelewa hata kidogo.Wana mageuzi waliogeuzwa: Road Map to 2025. Walionja shubiri ya chamtema kuni. Unaweza pia kutumia neno "mchanja kuni." Kipigo na mateso vilionekana kama njia ya kujilinda, lakini pia vilikuwa ni visasi na onyo. Je, kuna kitengo maalum cha kuumiza, kutesa, na kupoteza watu ambacho kina kibali kutoka kwa mamlaka?
Picha inayojaribu kutengenezwa ni pana na ina vipaji vya kila aina vilivyojaa usherati, ugangwe, na ubaradhuli pia. Vipaji vya "hewala bwana" havijaachwa nyuma, vimo tena kwa wingi!
Visasi? Hilo liko wazi kabisa. Je, unajua ni kwanini mmoja alipokea kipondo kikali kuliko wengine, zaidi ya umbwa mwizi? Ni kwa sababu ya ushindi mnono wa kanda yake. Hapa mchungaji amefurahi sana.
Yote juu ya yote, ni nani huyu mwenye taswira nyuma ya kinyago? (A face behind the mask) Huyu ndiye injinia mkuu. Ni fundi mzuri sana wa kutengeneza mashimo ambayo watu watumbukie. Ana roho mbaya, kama ibilisi anasubiri. Huyu ni yule kiongozi mtukufu wa majabali. Hakuna jabali lisilomjua huyu mtwa!
Wanaotajwa kwa sasa ni wengi na lawama nyingi zinamwelekea mama na mwana. Hawa si wazoefu wa hizi figisu. Hata hao watumwa wengine, mchongo mzima unatengenezwa na mkubwa wa majabali; wao ni watekelezaji tu.
Huyu ni hatari zaidi kwa sasa na wakati ujao kwa sababu:
Laiti mama mkwe angejua, kikulacho ki nguoni mwake...! Taswira nyuma ya kinyago!
- Bado ana ndoto kubwa.
- Kafanikiwa kuvaa kinyago.
- Kajisimika kwenye mgodi wa kaya.
- Anatekeleza mipango yake yote akiwa nyuma ya kinyago.
- Ni katili asiyejali wala kuogopa chochote.
- Kafanikiwa kwa asilimia 100 kumweka kiganjani bosi wake na anamuendesha atakavyo kutoka pande zote.
- Kajijengea mtandao imara sehemu zote kuanzia sungusungu mpaka mgambo.
- Kupitia mgodi wa kaya, kafanikiwa kujimegea na kujichotea vya kutosha, hivyo anatengeneza ushawishi na uungwaji mkono bila shida yoyote!
Good evening, Tanganyika..
View attachment 3070979
.mwambie mkwe amtaje huyo nyuma ya kinyago au nae anaogopa! kama anaogopa basi unamkwe muoga sana mnyang'anye huo ukwe!
BubuMkwe kama mkwe
mwambie mkwe amtaje huyo nyuma ya kinyago au nae anaogopa! kama anaogopa basi unamkwe muoga sana mnyang'anye huo ukwe!