TASWIRA; Magogoni leo!!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765
Dk. Harrison Mwakyembe akila kiapo kuwa waziri wa Uchukuzi mbele ya Rais Jakaya Kikwete kwenye viwanja vya Iku asubuhi hii.

Shamsi Vuai Nahodha akila kiapo kuwa waziri wa Ulinzi mbele ya Rais Jakaya Kikwete.

Dk Husein Mwinyi akila kiapo kuwa Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii mbele ya Rais Jakaya Kikwete

Mh. George Mkuchika akipongezwa na Rasi mara Baada ya kula kiapo.

Mh. Mathias Chikawe waziri wa Sheria na Katiba.


Hawa Ghasia akila kiapo


Profesa Jumanne Maghembe akisaini kiapo mara baada ya kuapa kuwa waziri wa maji na umwagiliaji
 
niliangalia zoezi la kuapishwa kupitia TBC 1,mtangazaji wa kike wa tbc aliyekuwepo ktk eneo la kuapishwa alianza kumhoji mheshimiwa balozi hamis kagasheki,mtangazaji alianza kwa kumwambia mheshimiwa pole,na waziri alimjibu ni kweli nastahili pole!i loves that kwa sababu mheshimiwa alitambua kwamba uwaziri wa sasa unahitaji pole kwa kuwa unatakiwa mtu ujitume KWELIKWELI!UKICHEZA KIDOGO NJE!
 
binafsi sina imani na uwezo wa utendaji kazi na hawa ghasi na mwinyi na mkuchika
 
Back
Top Bottom