Taslima: Ninatosha uenyekiti CUF

Taslima: Ninatosha uenyekiti CUF

Lipumba akatwe wala asifike
na hili ndo kubwa la kukatwa jina lake lisjitokeze miongoni mwa wagombea,lkn hata hivyo sidhan kama Sakaya atamtosa lipumba kwa mazuri aliyomfanyia. wakiruhusu Mzee wa ccm kwisha kabisa ,mlalo wa chali,vuvuu,kifo cha mende. Ukumbi utasimama na akieleza yaliyo mkuta ktk ujenzi wa cuf toka 1995 ,hili la lowasa ,watamsamehe. Utasikia tu lile dingi Wanaumeeeeeee,wanawakeeeeeeeeee, halafu litashusha CV zake mezani ukumbini utalindima ,kama hujui muulize prof. Safari ,baada ya matokeo aliishia kucheka tu.
 
Cuf ina maisha marefu baada ya Lipumba.

#lipumbaout
#cufbilalipumbainawezekana
 
Hakuna wa kumuogopa Lipumba ila wanajiepusha na KIRUSI cha ccm!!
Pale cuf wote ccm kuanzia sefu mpaka Duni wote wana kadi za ccm,ukija chadema ndio aibu,lowassa na genge lake lote bado wanajisahau na kutinga fulana za ccm wakiwa kwenye bustani zao wanakunywa bia
 
Back
Top Bottom