Taslima: Ninatosha uenyekiti CUF

Taslima: Ninatosha uenyekiti CUF

Nimeona kuokoa ile chama wamkabidhi mwenye nacho. Nimesikia maandamano mkubwa yatatokea kwa wanachama wa CUF wa Tanzania Bara.

Haka kamchezo hakahitaji hasira kabisa.
 
Lipumba alikuwa wa zamani lkn huyu wa leo pandikizi.
 
Haya matusi hata Zito alitukanwa sana kuitwa msaliti kisa aligombana na wenye chama
 
Hivi mzee Mapalala bado yu hai au aliishatangulia mbele za haki?
 
Ukawa wameshindwa kabisa kuwasaidia cuf zanzibar wanachoona kuwa wameporwa.Ni ukawa ndio waliowashawishi cuf zanzibar wasuse,ili wasaidiane kuipiga pressure serikali ya muungano

Matokeo yake ukawa wanalilia tv live,wanagombana na naibu spika makusudi ili wafukuzwe bungeni

Sasa cuf wanahitaji mtu mwenye uchu wa madaraka kama Lipumba aje kutoa changamoto kwa magufuli kuhusu zanzibar

Ukawa wameshindwa,kuitetea cuf,na cuf imekufa bara,Twaha Taslima si aina ya kiongozi anaetakiwa na cuf kwa sasa,hana mvuto hana tofauti na Mashinji
NAONA KAMA UNAHITAJI KUFANYIWA UCHUNGUZI KICHWANI MWAKO....
 
sijawahi kuona amiri jeshi anakimbia katikati yavita eti baada tu yavita kuisha anarudi na kutaka cheo chake dah ingekua kwetu iraq hana kichwaaa
 
Anajiharibia tu hadhi yake! Angetulia akafanya mambo mengine
 
Hakuna viongozi wengine tukaona tafauti ya utendaji au anahisi yeye ndie sahihi hakuna wengine
haya mchezo wa kihindi uanzee
 
Nimeona kuokoa ile chama wamkabidhi mwenye nacho. Nimesikia maandamano mkubwa yatatokea kwa wanachama wa CUF wa Tanzania Bara.

Haka kamchezo hakahitaji hasira kabisa.
Wamebuma kabisa wameshashtukiwa hakuna mamluki atakae penyeza
 
Inashangaza wanaccm ndo wanamtetea huyu jamaa sijui kuna nn nyuma ya pazia
 
Ukawa wameshindwa kabisa kuwasaidia cuf zanzibar wanachoona kuwa wameporwa.Ni ukawa ndio waliowashawishi cuf zanzibar wasuse,ili wasaidiane kuipiga pressure serikali ya muungano

Matokeo yake ukawa wanalilia tv live,wanagombana na naibu spika makusudi ili wafukuzwe bungeni

Sasa cuf wanahitaji mtu mwenye uchu wa madaraka kama Lipumba aje kutoa changamoto kwa magufuli kuhusu zanzibar

Ukawa wameshindwa,kuitetea cuf,na cuf imekufa bara,Twaha Taslima si aina ya kiongozi anaetakiwa na cuf kwa sasa,hana mvuto hana tofauti na Mashinji
Mkuu ukisema CUF imekufa Tanzania bara kila mtu atakushangaa!! Chama kimepata zaidi ya wabunge 10 kutoka wabunge wawili waliokuwepo harafu unasema chama kimekufa badala ya kusema kimeimarika!
 
Hii nchi ni mfululizo wa series, mfano wa Isindingo. Halafu wananchi ni watu wa ajabu sana kwa kweli
 
Mkuu ukisema CUF imekufa Tanzania bara kila mtu atakushangaa!! Chama kimepata zaidi ya wabunge 10 kutoka wabunge wawili waliokuwepo harafu unasema chama kimekufa badala ya kusema kimeimarika!
Ni kwa pressure ya lowassa chama in reality hakina nguvu,wanachama wamegawanyika na hawana morali
 
Back
Top Bottom