1. Rais anaongoza nchi ya watu milioni 50
2. Ndio kamanda mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi na usalama
3. Kaenda kwao Chato, na kutoa kauli kuwa:
Ana task force ya siri ambayo inafanya kazi ya kupitia maofisi ya serikali na vitengo mbali mbali na kusema wazi kuwa kikosi hicho cha siri kinaongozwa na mwanamama
Nitaweka video au kama kuna mtu anayo video anaweza kuionyesha mkamsikia Mheshimiwa Rais
Kinachonishangaza ni kuwa kama vyombo vya usalama vipo na wanajua kazi yao iweze leo kuwepo kwa hiki kikosi cha siri ambacho haijulikani koko accountable kwa nani na powers zao ni zipi na mambo yepi wanaweza kufanya na yepi ya hawawezi kuyafanya na wakikiuka kazi wanaweza kushitakiwa au la.
Kama vipo vikosi vingine vya siri vipo bas si vibaya tukajua maana ninachoogopoa ni sleep walking into the "third reich"