Tasi, Bamia na Hoho - weka mbali

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]

Mnakoelekea mtakuja kuwafundisha watu namna ya kutengeneza bomu la nyukilia bila kujua
 
Bongo kuna fulsa kibao tu kama unataka mshiko wa fasta fasta na kwa kipindi maalum.

Nakumbuka wkt wa mayai ya kwale na ufugaji watu walivyovuna mpunga na hii ya 'dakika moja chali' ukiitangaza vizuri inakupa utajiri wa msimu.
 
Wanaume mnahangaika, siku hizi wadada tunapenda mwanaume awe anajielewa kabla ya kufika huko maana tukikimbilia kuvuana nguo na kusifiana kwa bed tutaishia kuchakaa na kuwa masingle mom tu. Ila mwenye future unakua mke mwenye malengo mazuri.
Naomba nikuoe pleezee unakitu nimekigundua cha ziada njoo tuunganishe dots

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh hii hatare.....lakin ni vizuri kila mtu akaleta mrejesho wake baada ya kutumia mana mimi demu anarud home ucku akiwa amechoka so nakosa muda wa kumpiga miti vizuri...sasa itabd nikishakula hv niwe namtomb..asubuhi
 
duh hii hatare.....lakin ni vizuri kila mtu akaleta mrejesho wake baada ya kutumia mana mimi demu anarud home ucku akiwa amechoka so nakosa muda wa kumpiga miti vizuri...sasa itabd nikishakula hv niwe namtomb..asubuhi
Hahahahahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida samaki wa nyavu hukaa masaa mengi so anapoa yaani madini yanakuwa mepesi, but then samaki wa wavu wengi ni dhaifu, mshipi lazima apambane kula ndoano na ikishika koromeo jua kaliwa. Bamia ina mbegu ambazo ni very powerful pia ina madini chuma kibao, mafuta ya mahidi yanatokana na kiini tu na protein yake senene anasubiri. Hoho jike lina madini mengi mno muhimu, so sio uchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…