Eng.Dullah JF-Expert Member Joined Sep 24, 2014 Posts 372 Reaction score 304 Apr 7, 2018 #22 Interview yao n tarehe 19 mwezi huu! Na tayar wameshawatumia ujumbe! Asante
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 Apr 9, 2018 #23 shida ni moja ajira hamtaki kutuwekea huku mnafanya application Kwa siri mkishaona hamuitwi ndo mnakuja kutuuliza
shida ni moja ajira hamtaki kutuwekea huku mnafanya application Kwa siri mkishaona hamuitwi ndo mnakuja kutuuliza
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,207 Reaction score 40,645 Apr 9, 2018 #24 mjumbe wa bwana said: shida ni moja ajira hamtaki kutuwekea huku mnafanya application Kwa siri mkishaona hamuitwi ndo mnakuja kutuuliza Click to expand... Wanapunguza kompitisheni mkuu,yakifika shingoni ndo wanaleta lawama
mjumbe wa bwana said: shida ni moja ajira hamtaki kutuwekea huku mnafanya application Kwa siri mkishaona hamuitwi ndo mnakuja kutuuliza Click to expand... Wanapunguza kompitisheni mkuu,yakifika shingoni ndo wanaleta lawama
mjumbe wa bwana JF-Expert Member Joined Sep 19, 2016 Posts 5,282 Reaction score 6,162 Apr 10, 2018 #25 Ndumbula Ndema said: Wanapunguza kompitisheni mkuu,yakifika shingoni ndo wanaleta lawama Click to expand... wakapambane na hali zao huko huko sisi hatujui maana hata tangazo hatukuliona
Ndumbula Ndema said: Wanapunguza kompitisheni mkuu,yakifika shingoni ndo wanaleta lawama Click to expand... wakapambane na hali zao huko huko sisi hatujui maana hata tangazo hatukuliona
D Danijah Godiva JF-Expert Member Joined Jan 23, 2018 Posts 219 Reaction score 147 Apr 10, 2018 #26 medie20 said: ingia nbs website yao wametuma majina au fungua link hii hapa http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/tangazo/Wito_wa_Kazi_PSSN.pdf Click to expand... Uwe unaelewa Tasaf na nbs ni sawa?? Kama hujui sio lazima uchangie mada
medie20 said: ingia nbs website yao wametuma majina au fungua link hii hapa http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/tangazo/Wito_wa_Kazi_PSSN.pdf Click to expand... Uwe unaelewa Tasaf na nbs ni sawa?? Kama hujui sio lazima uchangie mada
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,361 Reaction score 6,966 Apr 18, 2018 Thread starter #27 ************************ Mr.Junior said: Waajiri nao siku hizi hawaeleweki. Hawa tasaf walisema wataita baada ya siku 14 ila wamekuja kuita baada ya mwaka kupinduka...........baada ya miezi zaidi ya mitano. Click to expand... chief hawa jamaa wa TASAF waliita watu lini tena mbona habari mupya kwangu iyo
************************ Mr.Junior said: Waajiri nao siku hizi hawaeleweki. Hawa tasaf walisema wataita baada ya siku 14 ila wamekuja kuita baada ya mwaka kupinduka...........baada ya miezi zaidi ya mitano. Click to expand... chief hawa jamaa wa TASAF waliita watu lini tena mbona habari mupya kwangu iyo
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,984 Reaction score 11,794 Apr 18, 2018 #28 luangalila said: ************************ chief hawa jamaa wa TASAF waliita watu lini tena mbona habari mupya kwangu iyo Click to expand... Mkuu cheki huu uzi. News Alert: - Usaili TASAF
luangalila said: ************************ chief hawa jamaa wa TASAF waliita watu lini tena mbona habari mupya kwangu iyo Click to expand... Mkuu cheki huu uzi. News Alert: - Usaili TASAF