Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
watu wa Lowasa mko wapi? nafasi yenu ya pili kwenye Urais inaporwa na wasira
Uchaguzi wa 2015 kura zitaenda kama ifuatavyo.ntafurahi sana akipitishwa na CCM, gues what?...
Wassira anazo sifa nyingi za kumfanya kuwa Rais na si TASAF peke yake
1. Uadilifu
2. Uzalendo
3. Uchapakazi
4. Ujasiri
5. Ukweli na uwazi
6. Uzoefu.
Mzee Wasira is very fine, he deserves every good thing our country can offer including Presidency. We need someone serious to lead our country.
nyangwine on duty
Wassira anazo sifa nyingi za kumfanya kuwa Rais na si TASAF peke yake
1. Uadilifu
2. Uzalendo
3. Uchapakazi
4. Ujasiri
5. Ukweli na uwazi
6. Uzoefu.
Ahahahaha, uzoefu wa nini, alishawahi kuwa Rais? mimi nilikuwa napita tu.Wassira anazo sifa nyingi za kumfanya kuwa Rais na si TASAF peke yake
1. Uadilifu
2. Uzalendo
3. Uchapakazi
4. Ujasiri
5. Ukweli na uwazi
6. Uzoefu.
Wassira is a compromise candidate in CCM no matter what you kids talk about, The man is capable,energetic,and intelligent to lead the country.
Wassira gooo you deserve it!
serikali nunifu(imenuna) halafu seif id na bilali wabaki makinda kama kawaEbu pata picha
Raisi anakuwa Wasira na waziri mkuu anabakia Pinda. What's an image of Tanzania will look
Itabidi asisafiri ili watalii waje kwa wingi kumwangalia kabla hawajaenda kuangalia ndugu zake kule kwenye pori la kigoma