TASAF inatumia Tshs Bilioni 900 kuhudumiwa watu milioni 5

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,087
Reaction score
5,352
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini.

Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.

Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
 
naona mme anza kuchanganyikiwa unaleta Habari za TASAF saiv wakati ipo toka kipindi cha kikwete . Elfu 30 ina saidia nini sasa kukwamua umaskini
Kwani Kikwete bado yuko madarakani?
 
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Mmerukwa akili maCCM
 
maskini wasaidie wajisaidie sio kuwapa hela,
zile baiskeli alizowapa watu wasiozihitaji angeweka maradi wa kuwezesha kaya hizi kujihudumia
wakikusanya hizo pesa wao wenyewe haziwezi kuwa mtaji
 
Moja ya shabaha kuu iliowekwa na Dira 2050 ni kuhakikisha kuwa ifikapo mwaka 2050 Taifa letu liwe limetokomeza kabisa umasikini uliokithiri, ambapo kwa mujibu ripoti ya Benki ya Dunia (2025) Asilimia 26 ya watanzania linaishi katika kundi hili, Katika kupambana kuwatoa wananchi wanaoishi katika lindi la umasikini Rais Samia amefanya jitihada mbalimbali ikiwa ni Pamoja na, kuongeza kiwango cha fedha kwa Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) inayohudumia wananchi wanaoishi katika kaya masikini waweze kumudu gharama za mahitaji yao ya kila siku.Ambapo Rais aliongeza fedha katika mfuko huo kutoka TZS580.2bn mwaka 2020 hadi TZS962bn mwaka 2024 jitihada hizi zimesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanufaika kutoka 5,000,000 na kufikia 5,202,655 mwaka 2024, sawa na ongezeko la wanufaika wapya 202,655. Jitihada na uwekezaji huu katika kuwanusuru kaya masikini ni msingi mzuri wa kutimiza shabaha ya dira 2050 inayolenga kutokomeza umasikini uliokithiri kwa makundi yote miongoni mwa watanzania.
Hizi pesa za TASAF zimewahi kubadilisha maisha ya hizo kaya wanazopokea hizo peanuts ?
 
Mnahangaika sana na bi Tozo. Hakubaliki
 
Hao wanufaika wanajitafuta kwa tochi hawajioni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom