TASAF bado hawajaita kwenye interview?

TASAF bado hawajaita kwenye interview?

Trance M

Senior Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
183
Reaction score
37
Habari wanaJF.

Niliomba nafasi za kazi TASAF kwenye tangazo lao la mwezi December mwaka jana. Naona imepita siku nyingi sana.

Nahisi nitakuwa nimepitwa na taarifa, naomba mnijuze mlio nataarifa.
 
Habari wanaJF.

Niliomba nafasi za kazi TASAF kwenye tangazo lao la mwezi December mwaka jana. Naona imepita siku nyingi sana.

Nahisi nitakuwa nimepitwa na taarifa, naomba mnijuze mlio nataarifa.

Hata mimi niliomba kazi ya Monitoring Officer na zilitangazwa nafasi 30 Moja kwa kila mkoa, Bara na visiwani. mpaka leo sijawahi kusikia chochote hadi nimepata kazi nyingine
 
Kumbe tuko wengi jana nimeingia web yao tangazo bado lipo ila hamna updates zozote! Maxence Melo tupe updates kwani we ndo uliyelileta JF
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Balacuda. Kwa hiyo itabidi uachane nao hata kama utakuwa shortlisted. @maxence mello tujuze
 
Last edited by a moderator:
Mwenye taarifa mwingine jamani. Isije ikawa watu walishaanza kazi siku nyingi mimi sina taarifa
 
Zile kazi inaonekana zilikuwa internal na kukamilisha utaratibu tu na kuconfirm walizokuwa wanakaimu mzee kwa lugha nyepesi apo umelamba kekundu endelea na ustaarabu mwengine.
 
Hii comment itakuwa ni virus. Nimeiona kwenye jukwaa la mapenzi sehem nyingi sana. davismallory ni spam naomba Maxence Melo ushughulikie hili sababu watumiaji wengi tunatumia simu na kwa hili tutakuwa katika risk.
 
Last edited by a moderator:
Habari wanaJF.

Niliomba nafasi za kazi TASAF kwenye tangazo lao la mwezi December mwaka jana. Naona imepita siku nyingi sana.

Nahisi nitakuwa nimepitwa na taarifa, naomba mnijuze mlio nataarifa.

Hizo nafasi zilitangazwa kama danganya toto,watoto wao washachukua hizo kazi
 
Kama ndio hivyo lazima ukae lazima mtoto wa mkulima aendelee kuwa chini milele.
 
Last edited by a moderator:
Kuweni serious basi, toeni taarifa sahihi. Kama huna taarifa acha kucomment
 
Good news! Baada ya mwaka mzima kupita sasa TASAF wameita watu walioomba nafasi za kazi ya director, specialist, MIS na nyingine zilizotangazwa July mwaka jana kwa ajili ya usaili japo bado wanaendelea kuita.

Kama hujapokea simu yeyote jua kuwa haujabahatika. Kwa wale walioomba nafasi za TA mwezi December mwaka jana pia bado hawajaanza kuitwa kwa ajili ya usaili
 
Back
Top Bottom