digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,554
- 2,265
Habarini wana jamvi,
Kuna kitu nimeona kimekua kama kimeshazoeleka tayari siku hizi; watu wanafunga barabara kwa kigezo cha ibada au sherehe, tena unakuta barabara iliyofungwa ni kwenye maeneo yaliyopo busy sana kwa watu kujiingizia kipato.
Hivi Tarura, mkoa husika ndio huwa mnatoa vibali au hata ninyi hamlijui hilo maana imekua usumbufu sasa na njia zenyewe unakuta ni one-way tu then unafika mbele unakuta watu wameifunga bila hata kuweka sign yeyote mwanzoni.