Tarura e-parking inachangamoto

Tarura e-parking inachangamoto

Msolopaganz

Member
Joined
Jan 16, 2019
Posts
25
Reaction score
36
Habari zeni wadau, nimekutana na changamoto katika kufanya malipo kwa kutumia huu mfumo wa tarura e-parking.
Jana nilikua na shughuli zangu pale TRA mwanza nikapaki gari kwanje, kabla nilikua na taarifa juu ya huu utaratibu mpya wa malipo kwakutumia huu mfumo mpya. Nilipotoka baada ya kama masaa mawili hivi nikacheki kama nadaiwa kwakutumia number yao ile *152*00# message ikaja sidaiwi, kwamaana siwezi kulipa kama sidaiwi. Leo tena nimekuja hapa TRA nikasema ngoja nicheki kama nadaiwa, message inakuja wananidai 40, 000/=. Nikawa najiuliza yaani hatakama jana sijalipa iyo 1, 500/= leo napaswa kulipa 40,000/= usawa wenyewe huu.
image%3A3095.png
 
Back
Top Bottom