Tarime

DC leo kaenda eneo la tukio walipopigwa wananchi jana kafunga migodi kwa mda mpaka wapate mwafaka lakini cha ajabu wale wananchi waliopigwa na kubambikiwa kesi na Polisi kwa Amri za mzungu bado wapo jela wanataabika na majeraha pasipo kupata tiba.
 
Kuna Uonevu wa kutisha huko Tarime n
 
Mura minyoo ni mzungu wa Nyamongo au yule mfanyabiashara...
 
Mh Rais magufuli tunakuomba ufanye maamuzi magumu kule Tarime uwatengue RPC na DC maana wanafanya vitu vya ajabu pasipo kuchukuliwa hatua
 
Mura minyoo ni mzungu wa Nyamongo au yule mfanyabiashara...
Mfanyabiashara wa Madini lakini na yeye ana boss wake nyuma ya pazia ambaye hula pamoja na kamishina wa Madini wilaya na mkoa, kuna Uonevu wa kutisha yafaa RPC na DC watumbuliwe ingawa ni rafika zake mtukufu kama alivyokuwa Bashite na Mnyeti.
 
DC jana kaenda kufunga mgodi wa wachimbaji wadogo wadogo na kuwathiri kiuchumi na kuikosesha Serikali mapato, badala ya kumkamata chanzo cha tatizo ambaye alikwenda kuwafanyia fujo wananchi, inachangaza kuona MZUNGU ambaye ndiyo kaleta maafa na kupeleka Polisi kuwapiga wananchi masikini wanyonge ameachwa anapeta mitaani, lakini wale wananchi waliopnewa kuporwa Madini yao na MZUNGU wapo jela wana kesi huku wakiugulia maumivu ya kupigwa na Polisi.
 
Rais magufuli kutwa anatengua teuzi zake lakini teuzi ya huko Tarime imekuwa teuzi ya kudumu milele kama teuzi ya Bashite.
 
RPC wa Tarime anaandaliwa kuwa IGP pindi kamanda Siro akistaafu
 
Utukutu wenu umewaponza, tarime si ndio mliowahi ua watumishi, nyie si ndie mlikuwa mkiwapora watumishi mishahara? nyie si ndio mlikuwa mnabaka walimu wa kike? Polisi wanatakiwa wawaongezee kidogo mana hamjawahi sifika kwa sifa njema!Kuna jamaa yangu kateswa sana na watu wa huko mpaka kaamua kuachia ngazi, karudi kwao.Sasa mnahitaji huruma ya nani kama nyie hamuhurumii wengine.Jirekebisheni!
 
Acha ushamba wako wewe vibaka waporaji wapo kila kona nchini hata Dsm kuna kanda maalum, kisa ndugu yako alipigwa umepakazia wilaya nzima? Huyo ndugu yako kupigwa vina uhusiano gani na Tajiri wa madini kutuma Polisi kwenda kuwapiga wachimbaji wadogo wadogo kuwapora madini kuwaibia pesa kisha tajiri kuwagawia OCD na RPC? Usiharalishe unyanyasaji kwa wananchi kwa kisa kimoja cha ndugu yako pekee, Tambua kuwa kilio cha wananchi wa Tarime ni RPC kuwakumbatia matajiri wa Madini anawatuma Polisi wake kuwapiga wachimbaji wadogo wadogo kuwabambikia kesi na pindi wakiwa gerezani ndipo matajiri wa Madini hitumia fursa hiyo kuiba madini yao, kwa kifupi RPC amekuwa mtetezi na Mlinzi wa wale matajiri waonevu kwa wananchi.
 
Tarime ya sasa ni full Amani lakini cha ajabu RPC na OCD wamekuwa wakivuruga Amani wenyewe kwa kuwanyanyasa wananchi wachimbaji wadogo wadogo madini yao, pesa na kuwabambikia kesi kibao za kuwakomoa.
 
Kusanyeni ushahidi, hata kwa Picha kisha mtauwakilisha.
 
Mkamatisheni huyo Mzungu za moto afungiwe Kazi,apewe kichwa cha uhujumu uchumi mnashindwa kumbambikia chochote kwenye himaya yake apewe kichwa cha uhujumu uchumi aimbe nacho Miaka 10 nyie wakurya wa dar nini?
 
Mnashindwa kumfyekelea mbali!!!.Ingekuwa wakurya wazamani wangemfyekelea!! Mbali!!
 
DC leo kaenda eneo la tukio walipopigwa wananchi jana kafunga migodi kwa mda mpaka wapate mwafaka lakini cha ajabu wale wananchi waliopigwa na kubambikiwa kesi na Polisi kwa Amri za mzungu bado wapo jela wanataabika na majeraha pasipo kupata tiba.
Watu wa Tarime ni wafitini na wagomvi toka enzi za mkoloni, nchi hii imejaa madini na wachimbaji wadogo wapo mikoa yote, kila siku ni Tarime tu ndio wanabambikiziwa kesi.

Kuna sehemu inawachimbaji wadogo kwa miaka mingi kama Chunya, mbona huko ujinga hatuusikii. Watu wanaongoza kwa kupiga wake zao, kupigana na majirani, ugomvi wa koo, wizi wa mifugo, kutembea na visu, ubakaji eti wanabambikizwa kesi...!!!
 
Usihukumu hivo kile kizazi kilishapita.Wengi elimu,dini na Kanda maalumu vimesaidia kuoondoa uprimitive.
 
Tarime ya sasa ni full Amani lakini cha ajabu RPC na OCD wamekuwa wakivuruga Amani wenyewe kwa kuwanyanyasa wananchi wachimbaji wadogo wadogo madini yao, pesa na kuwabambikia kesi kibao za kuwakomoa.
Kwa hio hao wamegeuka wapigaji,vyombo vitawachunguza kama ni kweli ila isije ikawa ni tuhuma tu kuwachafua watu.Mmeshawahi andikia malalamiko yenu ngazi husika za juu.
 
Kazi kuu ya polisi ni kulinda watawala na wenye Pesa,mengine ni ya ziada.Jitahidi uwe mmoja wa kundi hilo
 
Kazi kuu ya polisi ni kulinda watawala na wenye Pesa,mengine ni ya ziada.Jitahidi uwe mmoja wa kundi hilo
Ni kweli maana Matajiri wa mafini wa Tarime wamewaweka DC na RPC mfukoni ambapo OCD hutumwa kwenda kuwapiga wananchi wachimbaji wadogo wadogo kisha kuwabambikia kesi ili waogope kupaza sauti za kuomba taasisi za haki binadamu kuwasaidia, na kipindi wakiwa jela ndipo matajiri wa madini hutumia fursa hiyo
 
AKIFANYA SHEREHE AABAKIZE NA MAZIKO MKUU HUKO NAKUJUA AWANA USHIRIKIANO NÀ UJINGA LOH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…