Tarime yote ni Chadema tuu??

Mbona musoma iko chini ya CCM

Chadema waliangukia pua mbunge wake ni Vedastus Mathayo

Mm nawakubali Tarime musoma kuna wajita ni wanafiki sana hawa watu na ndiyo wengi pale

Kule tarime ni kurya people never give up
Naunga mkono hoja, wajita ni wanafiki balaa.
KUTI BUKIGI.
 
Kuna tunaoipenda CCM tena sana tu kama Mimi mwenyewe hapa GENTAMYCINE ila tu hatupendi ' Unafiki ' na ' Uwongo ' bali tunataka Siasa na Demokrasia yenye haki, usawa na umoja.
Mnajidanganya eti mnataka umoja wakati mnatutenga kwa itikadi,wajinga sana nyie
 
uanachama ni zaidi ya kadi na uzalendo ni zaidi ya chama; tuambie baada ya kuwa Chadema maisha Yao yamepata mabadiliko gani chanya tofauti na hapo awali?
Wamejikomboa kimawazo na fikra na sasa kuanza kuwapuuza maccm walio tutawala kwa miaka zaidi ya 55 lkn hadi leo hii kila kukicha ni afadhali ya jana
 
Napata faraja sn ninapoona ni JINSI gani idadi ya wanaojitambua inaongezeka kila kukicha
 
Mnaizika au mnajizika,chumba kimoja mnawadangany watu tarime nzima chadema
Mama na bibi zako wanaamka alfajiri kwenda kuhemea maji, mahospitalini hakuna dawa, fedha zinaenda kununua madiwani, mnunuaji anapandishwa cheo, kesho kutwa mabilioni ya fedha yanaenda kutumika kwenye uchaguzi wa madiwani kujaza nafasi za walionunuliwa, bado unakenua meno kushangilia CCM? Kwa nini usipimwe mkojo!
 
Mkuu hawa majamaa aliye waroga naona alishakufa maana hawajitambui wao kila kitu wanakenua mimeno tu
 
Kila mtu ana maamuz yake huwez kunipangia
Sikupangii, zipo pia familia ambazo baba zao ni walevi, kila siku wanalewa wanashindwa kusomesha watoto wala kuwanunulia nguo na mitoto inachekelea tu, inaona hayo ndio maisha wanayostahili!
 
Siasa ni upepo usiotabirika. Usijiaminishe kwa hicho unachosema/unachoandika!
 
Sikupangii, zipo pia familia ambazo baba zao ni walevi, kila siku wanalewa wanashindwa kusomesha watoto wala kuwanunulia nguo na mitoto inachekelea tu, inaona hayo ndio maisha wanayostahili!
Wana Ccm wameumbwa kuvumilia maumivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…