GE2025 Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru.

Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa!
================

Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu waliotekwa waachiliwe huru

Your browser is not able to display this video.
 
Si machawa walijianinisha kuwa watu hawawezi kuandamana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…