Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 265
Baada ya wana Mtwara kuonyesha kutokubabaishwa na CCM, Tarime nako wataanza uharakati wa kukomboa rasilimali zao zilizowaltea laana dhidi ya uwizi wa CCM. North Mara (Nyamongo) ni kambi dogo la Jeshi, lakini nguvu ya umma haiwezi kushindwa na hawa majangili wa CCM walioiuza nchi yetu.