TARIME MJINI: Ester Matiko chaguo la wananchi

TARIME MJINI: Ester Matiko chaguo la wananchi

kila unapopita sehemu mbalimbali za mji wa tarime,jina linalotamkwa ni la mhe.ester matiko ambaye ni kipenzi cha wengi,na kila mtu anatarajia kuwa atapitishwa na chadema ili agombee ubunge ktk jimbo la tarime mjini,na iwapo hatachaguliwa wengi wa wananchi wameaapa kutompigia kura yeyote atakaechaguliwa na wajumbe ktk uchaguzi wa trh.23 july.na matokeo yake ni kumpigia kura mgombea yeyote wa ccm.

tarime hawawezi kumchagua mwanamke kuwa mbunge bana.kembaki juu sana. Ccm juu
 
Kwani majina ya wagombea wote si yametolewa kwani jina la matiko halipo? Huyu dada namkubali ni mpambanaji sana bunge lililopita hakutetereka kutetea hoja yake hata aliposhambuliwa na wabunge wa ccm.
 
Yametimia hongera kwako kamanda ester matiko(CHADEMA) umevunja rekodi kuwa mbunge wa kwanza wa jimbo mkoa wa mara-peopleeeeesss
 
Ameshaaa tangazwa mshindi tayari
Ester matiko mbunge tarime
kura elfu 24 cdm
Kura elfu 14ccm
 
Waliokuwa wanasema Wakurya hawawezi kuongozwa na mwanamke aibu yaooooooo!!!!!!

Bado tunasubiri kwenye jimbo la Esther Matiko...
 
Wakurya hatuongozwi na mwanamke.
Huu mtazamo wako ni wa muda mrefu sana kimsingi tumeuzika kwenye majumba ya makumbusho ya historia kuwa mababu zetu walikuwa hawakubali kuongozwa na akina mama. Thanks CCM - Insenye iraghoye!
 
Back
Top Bottom