Tarime Mjini: Barabara zafungwa,Watu wakanyagana, watano wazimia ili kumwona mjelajela Esther Nicholaus Matiko, Wakurya wamwita baba kwa Ujasiri wake

Esther Matiko ni kiboko, ana msimamo, ana bashasha, ni mzuri, ana macho ya huba lakini makali yanayopambanua ujinga pembeni. Hongera Esther. Huyu ndiye kiboko cha Stephen Wasira. Yaani aibu! Dume zima alibwagwa na kabinti, tena mpaka mahakama ya rufaa? CHAAAALIIII
Ni dhahiri hili ni funzo siasa za sasa zinatakiwa mgombea kuwekeza katika watu kwanza na sio vyama.

Zama zile za ujinga,

Ilizoeleka kwamba hata kama unawatemea watu mate ila unagombea kwa tiketi ya ccm tayari wewe mshindi.

Leo mikoa inayojielewa wakiwekewa mjinga. Mjinga atahukumiwa kwa ujinga wake na si chama chake,

Hizi ni zama za elimu.
Wajinga wasiothamini utu wa watu hawana nafasi hata kama waje na majina makubwa kama tembo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amefanya mambo mengi sana ni vyema ukatuambia ni mambo gani hayo! Sikuhizi wakurya wamekuwa softi sana hawawezi harakati labda kuuza mayai na samaki...
 
CCM Roho zinawauma sana sasa hivi wao ni Kuzunguruka na Mabulungutu ya Fedha na Kununua watu.
 
Back
Top Bottom