Tarime Mjini: Barabara zafungwa,Watu wakanyagana, watano wazimia ili kumwona mjelajela Esther Nicholaus Matiko, Wakurya wamwita baba kwa Ujasiri wake

Esther Matiko ni kiboko, ana msimamo, ana bashasha, ni mzuri, ana macho ya huba lakini makali yanayopambanua ujinga pembeni. Hongera Esther. Huyu ndiye kiboko cha Stephen Wasira. Yaani aibu! Dume zima alibwagwa na kabinti, tena mpaka mahakama ya rufaa? CHAAAALIIII
Aisee JF ina mambumbumbu kama wewe, ni balaa. Hujui Esther Bulaya na Esther Matiko na unakuja mzimamzima!
 
Bahati mbaya ukishaandika umeandika. Nimeshajibu kwamba nilikosea na nikaomba radhi kwa hilo. majina yanafanana si unajua tena. ila kama nimekuwa mbumbumbu kwa hiyo mistake, sina la kujitetea zaidi, itabidi nikubali tu kwa kweli kuwa MIMI NI MBUMBUMBU
 
Umesamehewa mkuu
 
Back
Top Bottom