Uzuie mkutano kwa wakurya mkuu si utaliamsha. Policcm wametumia busara kuepusha shari.
Unafuatilia, mtakufakwa roho mbayaHao watu wanaokanyagana kwenye mkutano wako wapi?
Aisee JF ina mambumbumbu kama wewe, ni balaa. Hujui Esther Bulaya na Esther Matiko na unakuja mzimamzima!Esther Matiko ni kiboko, ana msimamo, ana bashasha, ni mzuri, ana macho ya huba lakini makali yanayopambanua ujinga pembeni. Hongera Esther. Huyu ndiye kiboko cha Stephen Wasira. Yaani aibu! Dume zima alibwagwa na kabinti, tena mpaka mahakama ya rufaa? CHAAAALIIII
Bahati mbaya ukishaandika umeandika. Nimeshajibu kwamba nilikosea na nikaomba radhi kwa hilo. majina yanafanana si unajua tena. ila kama nimekuwa mbumbumbu kwa hiyo mistake, sina la kujitetea zaidi, itabidi nikubali tu kwa kweli kuwa MIMI NI MBUMBUMBUAisee JF ina mambumbumbu kama wewe, ni balaa. Hujui Esther Bulaya na Esther Matiko na unakuja mzimamzima!
Bahati mbaya ukishaandika umeandika. Nimeshajibu kwamba nilikosea na nikaomba radhi kwa hilo. majina yanafanana si unajua tena. ila kama nimekuwa mbumbumbu kwa hiyo mistake, sina la kujitetea zaidi, itabidi nikubali tu kwa kweli kuwa MIMI NI MBUMBUMBU
Halafu watu wanakwambia upinzani unakufa hahahahaha hata uwa nashindwa kabisa kuwaelewa.View attachment 1065847View attachment 1065848View attachment 1065849
Tarime hawataki upuuzi,wanajitambua kwa sana.CCM endeleeni kufanya figisu maendeleo hayana vyama
Ingawa tunapitia kipindi kigumu ila mioyo yetu haijakata tamaaWaache waendelee kujidanganya, wakati utasema ukweli...ngoja tuendelee kuwaangalia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo ndilo la msingi. Cha muhimu ni kuomba uzima tu....Ingawa tunapitia kipindi kigumu ila mioyo yetu haijakata tamaa