Tarime: Fisi wafukua makaburi na kula maiti

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Wakazi wa mitaa ya Magena Senta, Ketare na Nyamiobo kata ya Nkende katika halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara wamepatwa na taharuki kutokana na fisi kufukua makaburi na kula mizoga.

Kutokana na taharuki hiyo wananchi katika eneo hilo wameiomba serikali kuwajengea barabara inayoelekea katika makaburi hayo na kuwataka watu wanaokwenda kuzika ndugu zao kwenye makaburi hayo kuchimba makaburi marefu ili kuepusha kadhia hiyo.

Chanzo: ITV
 
images - 2021-03-10T211011.599.jpeg

Huyu hawezi kufukua kaburi bwana waache sound.
 
Tunawazika ndugu zetu ili wasitunukie na harufu mbaya na wasiliwe na wanyama wakali,ndiyo maana ya kuzika,na ulefu wa kabuli, ni kimo cha mtu mzima na aunyoshe mkono wake.
Hebu niambie mnyama gani ataweza kufukua huo urefu
 
kaburi ni futi sita, ilikuwaje hao ma ofsa wafukue?

Napata shaka huenda hayo makaburi yalikuwa yamechimbwa kimo kifupi kiasi cha kufanya harufu ienee na ndio maana ilikuwa rahisi kwa fisi ku detect

Fisi hana utambuzi wa kujua haya ni makaburi na chini kuna mizoga, kilicho mtambulisha ni harufu na harufu huja baada ya kuchimba shimo fupi
 
Wakazi wa mitaa ya Magena Senta, Ketare na Nyamiobo kata ya Nkende katika halmashauri ya mji wa Tarime mkoani Mara wamepatwa na taharuki kutokana na fisi kufukua makaburi na kula mizoga.

Kutokana na taharuki hiyo wananchi katika eneo hilo wameiomba serikali kuwajengea barabara inayoelekea katika makaburi hayo na kuwataka watu wanaokwenda kuzika ndugu zao kwenye makaburi hayo kuchimba makaburi marefu ili kuepusha kadhia hiyo.

Chanzo: ITV
Nchi imekumbwa na dhiki hadi wanyama hawajui wale nini !
 
Back
Top Bottom