Mkuu The Boss, this Tarimba guy is a tough and smart cookie. In addition, politically, he's well connected and a CCM insider. He's very well respected within the high profile Dar business community. It's also fair to say that he's among the untouchable fellas in Tanzania
Mkuu The Boss, this Tarimba guy is a tough and smart cookie. In addition, politically, he's well connected and a CCM insider. He's very well respected within the high profile Dar business community. It's also fair to say that he's among the untouchable fellas in Tanzania
Mkuu hicho ni cheo cha kuajiriwa, Mkurugenzi Mtendajialiteuliwa lini?
mwaka gani?
na rais gani?
bado swali la aliaajiriwa lini halijajibiwa
na Rais gani alimteua?
Untouchable is the word i guess ...
home of great thinkers...'
Ni mteule wa rais kama walivyo wateule wengine na infact jamaa ana shule ya kutosha sana ...kuhusu urais yanga na udiwani kinondoni sidhani kama hiyo ni hoja maana sioni msing wake.
Bodi hii inasimamia michezo yote ya kubahatisha kuanzia inayoendeshwa na makasino,makampuni ya simu,magazeti nk..(yaani kila aina ya bahati nasibu halali unayoijua wewe)
Du jimbo la Kinondoni kwa Mashombe shombe halijambo!
Hata ilala liindi hayana huruma hii jamii yakifika sehemu hayatoki wala kubanduka yanafanya kila njia yasiondolewe sijui yatakufa lini hayaDu jimbo la Kinondoni kwa Mashombe shombe halijambo!
very goodkuna mtu anaweza kuniambia huyu mtu aliteuliwa lini kuwa
mwenyekiti wa bodi ya bahati nasibu?
Aliteuliwa na nani?
Kabla ya hapo nani alikuwa kwenye hiko cheo?
Utaratibu gani unatakiwa wa nafasi hiyo?
Je nafssi zake za urais yanga hapo zamani
au udiwani kinondoni kisheria zinaingiaje na cheo chake?
Na je hiyo bodi inafanya shughuli zipi haswaa?
Iko chini ya wizara gani?
Hii nchi kama haina taratibu kwenye mambo mengine...ndio maana ujanja ujanja unakuwa mwiiingi