Ni mteule wa rais kama walivyo wateule wengine na infact jamaa ana shule ya kutosha sana ...kuhusu urais yanga na udiwani kinondoni sidhani kama hiyo ni hoja maana sioni msing wake.
Bodi hii inasimamia michezo yote ya kubahatisha kuanzia inayoendeshwa na makasino,makampuni ya simu,magazeti nk..(yaani kila aina ya bahati nasibu halali unayoijua wewe)
Ni Mkurugenzi mtendaji wa bodi siyo mwenyekiti wa bodi hivyo ni mwajiliwa
Kabla ya hapo alikuwa Mohamed Mussa (marehemu) ambaye aliwahi kuwa mwenyekiti wa FAT(sasa hivi TFF0
nafasi zake za urais wa yanga na udiwani haziingiliani na naafasi yake
Bodi ya bahati nasibu inasimamia na kutoa leseni kwa michezo yote ya kubahatisha ikiwemo leseni za casino na bahati nasibu za promesheni mbalimbali
Bodi ya bahati nasibu ipo chini ya wizara ya fedha
The Boss Tarimba alishatokaga kwenye uongozi wa Yanga, ila ili la udiwani naona hapa kuna shida kidogo, udiwani na ukurugenzi sijui kama vinakwenda pamoja, ninavyofahamu wengine wamelazimishwa aachie kiti kimoja.je nafssi zake za urais yanga hapo zamani
au udiwani kinondoni kisheria zinaingiaje na cheo chake?
Hawa watu wanasimamia michezo yote ya kamali na ya kubahatisha.na je hiyo bodi inafanya shughuli zipi haswaa?
Chini ya wizara ya fedhaiko chini ya wizara gani?
kuna mtu anaweza kuniambia huyu mtu aliteuliwa lini kuwa
mwenyekiti wa bodi ya bahati nasibu?
Aliteuliwa na nani?
Kabla ya hapo nani alikuwa kwenye hiko cheo?
Utaratibu gani unatakiwa wa nafasi hiyo?
Je nafssi zake za urais yanga hapo zamani
au udiwani kinondoni kisheria zinaingiaje na cheo chake?
Na je hiyo bodi inafanya shughuli zipi haswaa?
Iko chini ya wizara gani?
Kuna mtu anaweza kuniambia huyu mtu aliteuliwa lini kuwa
Mwenyekiti wa bodi ya bahati nasibu?
aliteuliwa na nani?
kabla ya hapo nani alikuwa kwenye hiko cheo?
utaratibu gani unatakiwa wa nafasi hiyo?
je nafssi zake za urais yanga hapo zamani
au udiwani kinondoni kisheria zinaingiaje na cheo chake?
na je hiyo bodi inafanya shughuli zipi haswaa?
iko chini ya wizara gani?
Du jimbo la Kinondoni kwa Mashombe shombe halijambo!
Nyogeza ya ilo hivi hii nafasi aina mda wa kikomo kwa mteuliwa?
halafu wote ni wauza unga
halafu wote ni wauza unga
Du jimbo la Kinondoni kwa Mashombe shombe halijambo!