the supporter
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 821
- 1,041
Wakuu habarini za asubuhi,
Wakuu kuna hili swala nimeliskia kwa rafiki yangu kuhusu baadhi ya wateja wa TANESCO wenye mita za luku wana unganishwa kweny huduma hii nakuweza kununua luku kwa Bei nafuu.
Je hii ishu ipo vipi na gharama zake zipo vipi koz kwa kweli mita yangu ya nyumbani ina kula sana umeme wa elfu ishirini ni wiki moja tu na matumizi yangu ni tv tena flat Fridge na taa tena energy saver na pasi.
Na wakilisha naombeni mchango wenu.

Last edited by a moderator: