PamjaaaThanks kaka
Haha duh kali hiyooTarehe zipo nyingi We nitumie buku 5 nikutumie.
Udom udsm ifm na sua
Pole mkuuDah vijana wana ham kweli, nakumbuka na mimi nilikua na mzuka kama hivi miaka miwili iliyopita ila sasa hv hoiii sina hamu tena najuuta kuchagua course ndefu.