Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,642
- 4,479
Pole sana mkuuTarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa
AsantePole sana mkuu
tatizo lilikuwa nn ?, pole saanaTarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa
Pole sana kaka, binadamu sis ni wakatili sana heri wanyamaTarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa
Paka leo akuna aliye juu mkuu tatizo lilikuwa nntatizo lilikuwa nn ?, pole saana
Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa
Yeye ni zaidi ya sheria mkuuUkisema muuaji yupo huru una maana sheria haikuchukua mkondo ama yeye ni baba mkwe wa sheria? Ilikuaje akamchinja dada'ko?
Yani inaniuma sana pamoja na miaka yote kupita alimuuwa wakati mm ndiyo namtegemea ilikuwa kama ndoto sikuaminiusije kulipiza kisasi tu sababu hutokua na utofauti na huyo muuaji POLE SANA KAKA!
Yeye ni zaidi ya sheria mkuu
Dah pole sana.... apumzike kwa amani
Tushirikishe, kwanini aliuwawa?
Ha ha ha ha nicheke kumbe nawewe ni muumini wa hizo chailara 1 alianzisha perereee hapa kuhusu kaka Mond na Abuse ya wanawake, though alishambuliwa sana na pro Mond ila ujumbe ulifika na dunia ilijua na kwa kiwango fulani imempotezea eligibility huyu de Mond...hapo ni abuse tu, kwanini na huyu ndugu asiweke hili lake la kifo ambalo ni kubwa kuliko abuse?
Ha ha ha ha nicheke kumbe nawewe ni muumini wa hizo chai
kifo cha kikatili sana hiki, inaonekana kilitokana na wivu na hasira,Tarehe kama ya leo 2008 siku niliyompoteza dada yangu kipenzi rose b masawe kwa kifo cha kikatili ni kwa kuchinjwa na msemeno na muuwaji yupo huru paka leo pumzika kwa amani dada yangu rose masawe kifo chako kiliaribu maisha yangu kabixa