Hii ndio sababu kubwa ya wengi kuamini kila kitu ni uongo
Kwa sababu asilimia kubwa ya waswahili ni waongo, waizi, na wala rushwa kwa hiyo kama wewe umo unaona wote ni waongo tu
Mimi nafaidika na nini kwa kudanganya umri? Kuna tuzo humu wanatoa au utanipa msaada wowote
Najua mtandao huu tu ndio unaingia ila huijui mitandao mingine duniani
Hebu jipngeze download Tapatalk kuna hobbies nyingi sana huko
Ila kwa wewe ukiona wapenzi wa small aircraft wanavyoongelea ndege zao ungejiona masikini wa kutupwa
Au wenye magari ungelia kwa wivu
Hiyo miaka ya 80 kwa taarifa yako nilikuwa middle East tena nina kazi yangu na maisha mazuri tu
Ukiwa masikini kila kitu utaongea kwa wivu pole sana
Tembea dogo mimi namaliza mda nakuja kustaafu
Don't judge me ok
Aliwashikia akili zenu?Muwe mnaacha visingizio.Wachache watakuelewa matatizo yote ya nchi hii huyo bwana ndio alisababisha
Wenye akili tupo wachache wajinga wapo wengi, wapiga kura wa ccm ni wenye akili au ni watu wenye uwezo mdogo wakufikiriAliwashikia akili zenu?Muwe mnaacha visingizio.
Tumuhusishaje Nyerere na ufakir wa nchi?Wenye akili tupo wachache wajinga wapo wengi, wapiga kura wa ccm ni wenye akili au ni watu wenye uwezo mdogo wakufikiri
SisiM nani ndio aliileta mjiniTumuhusishaje Nyerere na ufakir wa nchi?
Halafu unadiriki kuandika kuwa ya kwako ni kweli kuwa umesoma nje na kutembea sawa ila sithubutu kukuita muongo kwa sababu sikufahamuNdio ujinga huu na kasumba tulionao watanzania tulio wengi.
Kwa hiyo kwenda nchi za nje mfano huko Middle East nakadharika ndo unaona ni jambo la ajabu?
Pole sana maana pamoja na kwenda huko nje bado
Unafikra za kizamani mno.
Nchi za nje sasa hivi kila mtu anaenda na hata kusoma nimesomea huko pia kwa hiyo bado nina pata mashaka mpaka karne hii unaona ni jambo la kwenda ughaibuni kama fimbo.
Et una kazi yako na maisha mazuri sasa hivyo vimefata nini nikuone wivu mtu kama wewe ambaye sikufahamu na ID yako fake? I’m better than that au unafikiri kila mtu ni wakupenda sifa hapa jukwaani na kuanza ku brag?
Mtu mzima anajielewa hawezi kuwa na maneno kiasi hicho ukweli ni dhahiri kwamba ulichokisema ni uongo mtupu.
Na akatukataza kuwafurusha warudi makondeni?SisiM nani ndio aliileta mjini
Na kweli mkuu na ndio wanaharibu mpaka vizazi na vizaziKuna wengine ni kizazi cha uongo tu kwa asili.
Nilikuwa heaven na wanangu akina petrol tunapiga story kuwa hii nchi maendeleo yatakuwa goi goiHeri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Ninyi si mliachiwa jukumu la kueneza injili?Mkawa mnatwanga stori tu za kijiweni?Nilikuwa heaven na wanangu akina petrol tunapiga story kuwa hii nchi maendeleo yatakuwa goi goi
Tufunge ndoa😂😂😂😂😂 ila mimi nimeshakuwa mkubwa mkuu! Tena mkubwa sana.
Sio kwamba tu jinsi ambavyo mahali hiyo siku iliponikuta bali naweza kukuelezea jinsi ambavyo ninaikumbuka...
Wakati huo nilikuwa mdogo kiumri na sikutambua sana kama wazungu ni watawala wa kikoloni, nilikuwa naamini ni miongoni mwa jamii za Tanganyika lakini ni watu wenye uelewa zaidi yetu kwa sababu hata nilipobahatika kuwaona wazungu, walikuwa ni watu wenye kutumia magari na vitu vingine ambavyo kwa pale kijijini kwetu havikuwepo...
Nitaendelea soon...
Ndio tunaishi nao sasa tunafanyaje, maana ndio kundi kubwa. Ila sasa hivi kuna makundi 3 ndani ya kundi 1 nasubiri yaongezeke makundi mengi ili hilo kundi kuu livunjike na wengine waingie mjini..Na akatukataza kuwafurusha warudi makondeni?
Umetumia carbon 14?Mwandiko wa Mtu wa 80s huu
Kama mti mbichi ulitendewa vile we wadhani miti mikavu ingefanywaje mkuu?Ninyi si mliachiwa jukumu la kueneza injili?Mkawa mnatwanga stori tu za kijiweni?
Mwandiko wa Mtu wa 80s huu
Halafu unadiriki kuandika kuwa ya kwako ni kweli kuwa umesoma nje na kutembea sawa ila sithubutu kukuita muongo kwa sababu sikufahamu
Wewe umesema mimi ni wa 80 kwa uhakika kabisa na mimi nikakuambia miaka hiyo nilikuwa nimeishatoka nje ya nchi
Sasa kuna nini cha ajabu nikisema nilikuwa nje wakati huo maana nimejibu kadiri ya maneno yako ulivyoandika
Mimi sibishani hapa ila nimeandika part of my life, that's all why should I lie about it
BTW kuwa na amani mkuu humu kama ulivyosema hatujuani lakini umediriki kuniita muongo wakati hatujuani, sasa huoni kama kuna tatizo hapo
Uwe na mchana mwema na uwe na amani maana hasira zinaleta kashfa na matusi na kuvunjiana heshima wakati mtu mwenyewe humjui
Have a great day
Mngejimwagia rangi mwilini kumuhadaa adui.Kama mti mbichi ulitendewa vile we wadhani miti mikavu ingefanywaje mkuu?