Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 54,710
- 102,484
Kwani haukumbuki kwamba mtu akizeeka anarudi utotoni?huu muandiko wa mtu mwenye miaka 27, 28, 29, 30, 31, 32, 33 au 34 haki vile mkuu uvuki kwenye miaka hiyo...!
nahitimisha kwa kusema kuwa 1961 hukuwepo🥰🤣
Dah! Nakumbuka hiyo siku kuna Mbuzi wetu alipotea.... ndo leo nimekuja kujua kumbe familia yenu ndo ilimchinja.Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Mkuu,Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Kwani haukumbuki kwamba mtu akizeeka anarudi utotoni?
Mungu akubariki sana mjukuu wangu!!!! Umemjibu vema hawa vijana wa kula tunda kimasihara hawajui kukadiria 😁Kwa taarifa yake mm na Biden darasa Moja sema mi nlisoma gumbaruKwani haukumbuki kwamba mtu akizeeka anarudi utotoni?
Kwani haukumbuki kwamba mtu akizeeka anarudi utotoni?
Si kweli.Muulize mzee@MohamedSaidMkuu,
1961 hata kama ulikuepo na miaka 8 Sasa ivi utakua ni mzee sanaa....
Na wazee wengi ni Ant_techinology nashangaa mzee wewe upo huku 🤓 hongera sana mzee wangu...
Kuishi kwingi kuona mengi hakika umeona mengi mzee wetu
Happy birthday Tanzania 🍰🎂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mbona mvi huwa haziondoki?Muamini hivyohivyo.anarudi utoto lakini muandiko unakuwa pia wa kitoto....sasa huwezi kurudi utoto harafu uwe na muandiko wa kijana...!
Na mlienda wote vitani Vietnam ingawa comrade Biden alikamatwa mateka.Mungu akubariki sana mjukuu wangu!!!! Umemjibu vema hawa vijana wa kula tunda kimasihara hawajui kukadiria 😁Kwa taarifa yake mm na Biden darasa Moja sema mi nlisoma gumbaru
Yule mtoto wa Gerezani kariakoo ni haki na halali kwake maana ana exposure kubwa 🤓🤓P
Si kweli.Muulize mzee@MohamedSaid
Biden mdhaifu sana speed hana anajikuta mwanamikakati, mwanangu sana alikua MaCcain hata kipindi anagombea ilibaki kidogo nikamsupportNa mlienda wote vitani Vietnam ingawa comrade Biden alikamatwa mateka.
Kwani huyu aliyekueleza yeye ni "old-mzee" umeshawahi kumuona uso kwa macho hadi usimuamini?Yule mtoto wa Gerezani kariakoo ni haki na halali kwake maana ana exposure kubwa 🤓🤓
Pia kumbuka yule ni mwanahabari na muandishi wa vitabu so lazima awe UpTo date ☺️😊
Ngoja nimuite mzee wetu aje atupe neno Mohamed Said
HILI NALO MKALITIZAMEMama yangu mwenyewe hakuwepo 🙄
Tupo na vitoto vidogo sana humu, hivi ndio vinafanya tuite maji mma🤣🤣Mama yangu mwenyewe hakuwepo 🙄
Namshukuru Mungu ndo siku mama yangu alipozaliwa.Heri ya siku ya uhuru wadau.
Nikikumbuka siku ya tarehe 09/12/1961 naona ni kama juzi tu kumbe ni miaka kibao imepita.
Nakumbuka siku hiyo tulivyochinja mbuzi nyumbani kusherekea uhuru, nakumbuka mvua kubwa ilivyonyesha mpaka kusababisha maji kujaa ziwa Victoria kupita kingo zake.
Kweli wakati ni ukuta.
Mkuu unakumbuka nini siku hii?
Mkuu huwa nakuheshimu sana hapa jukwaani , naomba nizidishe heshima, Kama ulikuwepo wakati wa uhuru! 🙌🏻Nilikuwa duniani, ila sikumbuki hilo tukio maana unajua tena waswahili kila leo ni sherehe wala hujui nini kinaendelea
Sherehe tangu uhuru mpaka leo ndio maana hata maendeleo ni zero
Niliona ni ujinga kuishi huko nikasepa baada ya kuona maduka ya ushirika ya Nyerere wameanza kuuza ngano unalazimishwa na sabuni
Ila miaka 10 ya kwanza ya Uhuru tulikuwa bado tuna mentality za kizungu maana watu walikuwa wanajielewa sana na akili kibao
Baba alikuwa mfanyabiashara na supplier mkubwa kwa wazungu, Gari lake lilikuwa Land Rover nakumbuka mwaka 1967 alinunua ila kulikuwa na wakulima wawili pia walikuwa na Peugeot kabla ya mzee hao walikuwa nazo kabla ya Uhuru
Maisha zamani yalikuwa matamu asikuambie mtu yaani mswahili tajiri tena anatamba na Gari?
Hapo ndio wenye roho ya korosho wakaingia madarakani na kuona wao waanze nao badala ya kuwahamasisha waendeleze biashara zao
Mahasidi wametufanya hivi ila poleni sana
😂😂😂😂😂 ila mimi nimeshakuwa mkubwa mkuu! Tena mkubwa sana.Tupo na vitoto vidogo sana humu, hivi ndio vinafanya tuite maji mma🤣🤣