Tarehe 5 Imepita, NACTE Mbona mpo kimya tena tuwaeleweje??

Dexaquin

JF-Expert Member
Feb 7, 2015
230
80
Nacte mpo kimya sana hamtoi updates zozote kuhusu kutoa majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo yao katika mwaka wa masomo 2016/2017 kwa ngazi ya stashahada na cheti, wananchi tuwaeleweje, maana mlitoa taarifa kuwa, kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wenu.........mkasogeza kutangaza majina hayo mpaka tarehe 5 sept. 2016, lakin mpaka sasa kwenye website yenu bodo kimya mna maana gani?

Toeni updates bwana acheni hizo!
 
Wanasubiria fedha itoke hazina. Aahaaa nawaza tu lakini. Maana kila sekta serikalini kwa sasa, jambo linalohusu pesa, siyo la kulikimbilia.

Maana ninavyojua NACTE, TCU, HELSB, kwa sasa wanategemeana na kutegeana pia.

Ahsante!
 
Narudia tena, ni mawazo yangu, ruhusa kukosolewa ama pia kurekebishwa.

Ahsante!
 
Ingia kwenye profile yako kama umechaguliwa kuna message yako na pia iwapo hujachaguliwa pia kuna ujumbe
Nacte mpo kimya sana hamtoi updates zozote kuhusu kutoa majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo yao katika mwaka wa masomo 2016/2017 kwa ngazi ya stashahada na cheti, wananchi tuwaeleweje, maana mlitoa taarifa kuwa, kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wenu.........mkasogeza kutangaza majina hayo mpaka tarehe 5 sept. 2016, lakin mpaka sasa kwenye website yenu bodo kimya mna maana gani?

Toeni updates bwana acheni hizo!
 
Jamani mie tangu hyo tar 5 imeandikwa hivi
1473265611519.png
 
Awali nilichaguliwa dakawa lkn wakafuta na kinipa list nyingine ya vyuo niapply nikaaply
 
Jamani CAS System inafunguliwa lini kwa wale wanaotaka kubadilisha course walizochaguliwa kwenda nyingine? Walisema wangefungua week hii.. sasa mpaka jioni hii nimechungulia sijaona kitu
 
Vuta subira ninahisi huko kwenu mtaala wa elimu ni mbaya be patient ila huku Tanzania nacte wameishafungua application kufunga by 15 hebu jaribu kuaply tr 16 itakuwa vzr maana naona hauko makini
 
Naombeni msaada wa taarifa hvi vyuo vya serikali wameshatoa majina Nacte?
 
Nacte mpo kimya sana hamtoi updates zozote kuhusu kutoa majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa kujiunga na masomo yao katika mwaka wa masomo 2016/2017 kwa ngazi ya stashahada na cheti, wananchi tuwaeleweje, maana mlitoa taarifa kuwa, kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wenu.........mkasogeza kutangaza majina hayo mpaka tarehe 5 sept. 2016, lakin mpaka sasa kwenye website yenu bodo kimya mna maana gani?

Toeni updates bwana acheni hizo!
NACTE: SECOND SELECTION KWA DIPLOMA NA CHETI TAYARI , INGIA KWENYE AKAUNTI YAKO UANGALIE KAMA UMECHAGULIWA AU LA | Thecoolfrank| Official Website
 
kani deadline tayr nacte...?? make ndo kwanza nataka nimshawishi dogo langubaombe
 
Jamani CAS System inafunguliwa lini kwa wale wanaotaka kubadilisha course walizochaguliwa kwenda nyingine? Walisema wangefungua week hii.. sasa mpaka jioni hii nimechungulia sijaona kitu
Mbona ipo waz kaka
 
Back
Top Bottom