Tarehe 11 - 11 - 2011

Tarehe 11 - 11 - 2011

Joined
Mar 30, 2010
Posts
19
Reaction score
2
Habari wanaJF,
Nimeona tushirikiane ujumbe wa tarehe ya leo wenye maana ya kusisimama kwa miguu yako miwili ili hii tarehe iwe chachu ya wote kusimama na kupinga udhalimu na unyonyaji ndani ya nchi yetu natoa wito hakikisha unafikisha ujumbe huu kwa watu watano wasiokuwa na acces ya information. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom