Tarehe 11 - 11 - 2011 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tarehe 11 - 11 - 2011

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sweetbertrutamb, Nov 11, 2011.

 1. s

  sweetbertrutamb Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari wanaJF,
  Nimeona tushirikiane ujumbe wa tarehe ya leo wenye maana ya kusisimama kwa miguu yako miwili ili hii tarehe iwe chachu ya wote kusimama na kupinga udhalimu na unyonyaji ndani ya nchi yetu natoa wito hakikisha unafikisha ujumbe huu kwa watu watano wasiokuwa na acces ya information. Nawasilisha
   
 2. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hii ni free mason day
   
 3. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,849
  Likes Received: 474
  Trophy Points: 180
  Namba moja si ya shetani.hii ni utakatifu ni namba isiyopendwa na shetani.Ni ukombozi
   
Loading...