Wadau naamini mu wazina na poleni kwa uchovu wa shamrashamra za sikukuu ya wafanyakazi.
Huwa nashindwa kuelewa pale ninapoona siku hiyo wafanyakazi wanavyokuwa na furaha katika maandamano lakini muda wa risala na hotuba mbalimbali ghafla furaha ukatika na kuanza manung'uniko ooh serikali hiki mara kile.
Ushauri: Bora vyama vya wafanyakazi vikae chini na kukubaliana kuwa vitoe muda kwa serikali itekeleze baadhi ya mambo na 1 may iwe ni siku ya kutoa mrejesho au kutangaza mgomo
Nawasilisha