super black Boy
Senior Member
- Oct 15, 2019
- 135
- 169
Rejea kichwa cha habar hapo juu!!
Mimi nilikuwa nahitaji kufahamu ikiwa mtu una mpenzi wako wa muda mrefu na unataka kumvalisha pete ya uchumba.
Je kuna taratibu zipi zinapasawa kufanywa hapa...binafsi nahitaji kujua kuwa ni lazima pande mbili za wazazi wafahamu kwanza kuwa mnamahusiano ndo mnavalishana pete ama tukio la kuvalisha pete ya uchumba haina haja ya kuwataarifu wazazi wote wa pande mbili?
Na Je ni lazima kutoa mahari kwanza ndo unavalisha pete ya uchumba au pete inavalishwa kwanza then ndo mahari inapelekwa?
naombeni msaada kwa wakubwa au kwa vijana wenzangu ambao mmeshapitia hii hatua!!
Ahsanteni na nawatakia jioni njema....